Upuuzi mtupu....umeandika utumbo gan...aisee kitengo cha propaganda lumumba kimeja viazi tupuTundu Lissu alijua kuwa atashinda Urais alimchukulia poa Rais Magufuli, alipokuwa akisoma comments za twitter akaona tayari ameshashinda.
Hali halisi ameiona mitaani, alikuwa ameisahau CCM kuwa ndio chama tajiri kilicho kitaasisi.
Ametembea kukusanya wadhamini kila pahala amekutana na maajabu ya uujenzi wa miundombinu kila nchi anaona miradi ya maji iko kila pahala pumzi imekata.
Ndio maana hotuba yake ya hai ilikuwa ya matusi mpaka shetani alikaa pembeni kumshangaa.
Kwa sasa amekata tamaaa kabisa ameona bora angebakia zake Ubeligiji afanye vibarua vya kusafisha vyoo vya wazungu.