Wadau
Ni muda mrefu sasa kamanda wetu hatujamsikia, mara ya mwishomm kumuona ilikuwa siku ya mdahalo alipomnyosha Mnyaa star tv, km kuna mtu ana taarifa za wapi yupo kamanda wetu atujulisha.
Kisharudi mjini toka jimboni kesho mtamwona msibani.
Na R1 aliyepata upper second angali charge sheet ya mshinda yupi mwenye unafuuHana lolote, ni kilaza wa kutupwa chuoni kwenyewe alipata PASS kwa kubebwabebwa.
Wadau
Ni muda mrefu sasa kamanda wetu hatujamsikia, mara ya mwishomm kumuona ilikuwa siku ya mdahalo alipomnyosha Mnyaa star tv, km kuna mtu ana taarifa za wapi yupo kamanda wetu atujulisha.
Wadau
Ni muda mrefu sasa kamanda wetu hatujamsikia, mara ya mwishomm kumuona ilikuwa siku ya mdahalo alipomnyosha Mnyaa star tv, km kuna mtu ana taarifa za wapi yupo kamanda wetu atujulisha.
Yuko jimboni kwake anapambana na kesi iliyofunguliwa na waccm kwa ajili ya ubunge wake
Uongo mwingine unatia aibu! Kwanza ni chuo gani hicho unachozungumzia? Kama haumfahamu mtu sio lazima kumzungumzia.
Kamanda kama utasoma hii thread jua tumekimiss rudi kundini
Hana lolote, ni kilaza wa kutupwa chuoni kwenyewe alipata PASS kwa kubebwabebwa.
Wewe ni *****,huna hata nafasi ya kusogea kwa Kamanda Lisu.JE WEYE ULIFAULUJE NA UKO WAPI?
Lazima uwe umekula ban. nakutakia ban njemaWewe ni *****,huna hata nafasi ya kusogea kwa Kamanda Lisu.JE WEYE ULIFAULUJE NA UKO WAPI?
jamani kwa yeyote mwenye taarifa yu wapi mbunge machachari wa chadema tindu lissu?kwa kumbukumbu zangu hata armeru sijamuona
MwaJ vp? mbona leo umetaka mapema? subiri giza giza!