Aliko Dkt. Fenela Mkangala

Aliko Dkt. Fenela Mkangala

Hahahaaaa...huyu mama dereva boda boda walimfanyia kitu mbaya sanaaa ..
Alikuwa anawagawia vizibao vya "nani Kama mama" katika kampeni za mwaka Jana lakini cha ajabu hawakumpigia kura ..teh teh teh!!
[HASHTAG]#dereva[/HASHTAG] pikipiki wote wa
-goba
-matosa
-tegeta A
-njia nne(goba)
-king'ongo
-kimara
-kibamba
-mpiji magohe
-kwembe
-msumi
-mbezi louis
-makabe .....
Na mimi mwenyewe hahahaa
MUNGU ANATUONA UJUE ..!!!()
Wema woote aliotufanyia wa kutupatia vizibao nk lakini bado tukamtosa! Yeuuuuuwii
Nimecheka sana. Wewe utakuwa jirani yangu wewe! Siku aliokuwa anagawa vizibao nilimuona, moyoni nilihuzunika sana.
 
Safari ijayo akigombea anapita bila kampeni.
Watu hawamtaki Mnyika kwa sasa
 
Nimecheka sana. Wewe utakuwa jirani yangu wewe! Siku aliokuwa anagawa vizibao nilimuona, moyoni nilihuzunika sana.
Hahahaaa na makongamano ya vijana siku hizi yameyeyuka ...
Siasa hizi jamani....
 
Ila tuache utani, mama ni mzuri, na huo msuko wake simple hadir raha. Sio unawekelea maminyweele unakuwa kama jini
 
Hahahaaaa...huyu mama dereva boda boda walimfanyia kitu mbaya sanaaa ..
Alikuwa anawagawia vizibao vya "nani Kama mama" katika kampeni za mwaka Jana lakini cha ajabu hawakumpigia kura ..teh teh teh!!
[HASHTAG]#dereva[/HASHTAG] pikipiki wote wa
-goba
-matosa
-tegeta A
-njia nne(goba)
-king'ongo
-kimara
-kibamba
-mpiji magohe
-kwembe
-msumi
-mbezi louis
-makabe .....
Na mimi mwenyewe hahahaa
MUNGU ANATUONA UJUE ..!!!()
Wema woote aliotufanyia wa kutupatia vizibao nk lakini bado tukamtosa! Yeuuuuuwii
Na ule haukua wema,
 
Mkuu amwonee huruma hatw kwenye viti maalum na teuz zijazo
 
Ila tuache utani, mama ni mzuri, na huo msuko wake simple hadir raha. Sio unawekelea maminyweele unakuwa kama jini
hata mi nimemwelewa yani acha tu man.................
 
Back
Top Bottom