kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,100
Maneno meng alafu pumba tupu.Kwanza nieleweke, sijakupinga.
Pili wewe unaongea kitu ambacho ungetaka Diamond akuunge mkono. Wakati yeye alishatolea ufafanuzi wa kwanini yupo You Tube na sio vevo
Alijibu kwamba..
Vevo hawamlipi vizuri. Ni kweli alijiunga VEVO, lakini akatoka. Ndio maana haweki chochote kwenye huo mtandao. Anabaki YouTube kwasababu analipwa vizuri.
Wala sina haja ya kumuonea wivu diamond ambaye anatuhuma kibao zikiwemo kua yeye ni Freemason, kuzaa na wanawake kibao na kuwatelekeza wanae.
Huyu kwangu sio WA kumuonea wivu.
tumuache apambane na hali yake.
Swala la mafanikio yake limejaa kiini macho kuliko uhalisia.
Sio kweli baadhi ya madai kuhusu utajiri halisi wa Diamond.
Pamoja na kuwepo uwezekano wa watakatishaji WA pesa kutokea serikalini kama kupitia mgongo wake. Lakini bado uongo umetawala.
Na kwa bahati nzuri alishawahi kukiri yeye mwenyewe kua zipo baadhi ya Stunts wanazifanya ili kujiweka juu lakini hali zao halisi hawako vizuri kiviile. Siku anaongelea hili hadi JPM alimpigia simu.
Nani hakumbuki wakati wema ananunua gari kisha anampa diamond anamwambia sema umeninunulia kisha wanafanya na sherehe na fujo kibao.?
Mwisho walipogombana ikawabidi waseme ukweli.
Wema naye alikua akifanya stunts kibao za kusheheresha hadi kudai Ana nyumba, tena anadai anapenda nyumba ya chini isiyo ya ghorofa. Siku alipotimuliwa kwenye hiyo nyumba ndio ukweli ukawa hadharani.
Nakushauri usiamini kila kitu.
Watu sio waaminifu kwenye hali zao halisi. Hii ni siri nakumegea
Hoja ya seduce me kupata ujiko, halina siri ile nyimbo ni nzuri sana kuliko zilipendwa".
Labda nikumegee wanawake wanapenda Sana nyimbo zenye maadhi na ujumbe wa "mapenzi". Kwahiyo usiseme promo. Wimbo unajieleza wenyewe.
Swala la kwanini team diamond hawakuja na hoja dhaifu za kusema seduce me imenunuliwa.?
Jibu ni kua
Walishazidiwa na Team Kiba.
Lazima ifike wakati ukubali kuna kuzidiwa mashabiki kiasi cha kutokuweza kufanya chochote.
Kiba ni mdogo kwa muziki mbele ya diamond lakini sio kwa zile nyimbo mbili za "zilipendwa na Seduce me."
Jibu liko. So obvious. Seduce me ume u-outsmart wimbo WA zilipendwa.
Ni lazima ifike wakati ujue diamond hata Kama ni Sterling WA movie, kuna wakati sterling anapokea kichapo cha mbwa mwizi pia.
Pia Kama wewe ungekua fair ulipaswa kumkosoa Mondi wako kwa kukurupuka kutoa wimbo WA zilipendwa kwa nia ya kumharibia kiba name wimbo wake. Roho mbaya ilimuangusha.
Ninaamini Mondi wako alijifunza kitu hapa.
CoZ Alishafanya upuuzi Kama huo WA kumtetea bashite kupitia wimbo WA Bora nikae kimya. watu wakampiga mawe ya kutosha. Mpaka akaomba radhi.
Ndio Tukajua kua ni mwanachama WA siri WA freemanson baada ya Gwajima kugusia hili.
Tena Kama sio maswala ya siasa yaliuathiri huu wimbo. Nina hakika wimbi wa "Bora nikae kimya" ulikua wimbo mzuri Sana wa diamond. Ulikua uweke rekodi.
Kuliko hata Nyashinski unaoitwa Malaika.
Mimi sio WA kujadili upupu WA kina dai..nimekusaidia ili ujitambue manake mmezoea ubishi usio na tija.Maneno meng alafu pumba tupu.
We jamaa una viroja sio kidogo!!!Kwanza nieleweke, sijakupinga.

Oh God, Mr. Truth!!!Mimi sio WA kujadili upupu WA kina dai..nimekusaidia ili ujitambue manake mmezoea ubishi usio na tija.
Akikoselewa dai, mnaanza kulialia eti wivu.
Mange kawafumania na dai wenu anaiba viewers, mnakuja hapa kulialia. Mkikaa kimya mtakufa?
Bado unaamini kwamba wewe sio mtu wa kujadili upupu?! Again unadai eti:Mimi sio WA kujadili upupu WA kina dai..nimekusaidia ili ujitambue manake mmezoea ubishi usio na tija.
Now tell me! Hivi hapo aliyefumaniwa na Mange ni sisi au wewe uliyelishwa viroja vya Mange nawe ukavibeba kama vilivyo!!!!Mange kawafumania na dai wenu anaiba viewers, mnakuja hapa kulialia. Mkikaa kimya mtakufa?
Halafu anadai yeye sio mtu wa kujadili upupu huku akionesha wazi wala hafahamu anachojadili!!!Maneno meng alafu pumba tupu.
Gari gani hilo alilomnunulia wema?Mimi sio WA kujadili upupu WA kina dai..nimekusaidia ili ujitambue manake mmezoea ubishi usio na tija.
Akikoselewa dai, mnaanza kulialia eti wivu.
Mange kawafumania na dai wenu anaiba viewers, mnakuja hapa kulialia. Mkikaa kimya mtakufa?
Kuanzia mwanzo unaelewa mapema ni mange style. [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mange anawaharibu akili.
Wiz Khalifa hayupo Vevo na See You Again (Tribute ya Paul walker) ina viewers 3.1Bilion na kaingia Guiness World Record nini Vevo?!
Enjoy good music....
Nonsense.Oh God, Mr. Truth!!!
Unajidhalilisha ndugu na unakuwa kiroja kwa mtu anayejiita Truth halafu ana-post mambo asiyoyafahamu!!! Huwezi kuwa mkweli wakati unaongea jambo usilolijua!!!
Hivi kabisa unaamini unaweza kununua views Youtube halafu ukabaki salama?! Hivi unaelewa wewe watu wanaposema kununua Views Youtube?! Do you know anything about that subject Sir?
Or, kumbe Mange amesema!!!!
Mange anayemsifu Kiba kuwa na account Vevo na Diamond ameshindwa kufanya hivyo!!
Hivi kabisa kabisa unaamini ile Seduce Me inayokuwa accessed from anywhere duniani ipo kwenye akaunti ya Vevo?! Serious?! Jomba, usidhani kuwa Marekani ndo kujua kila kitu! Huyo Mange nae ni mshamba tu asiyejua lolote kuhusu Vevo!!!
Ili na wewe usije ukaendelea kujitia aibu mbele ya watu wanaojua haya mambo ngoja nikusaidie ili hatimae uwe unaongea TRUTH as per your ID!!!
Mosi, you can't access Vevo from Tanzania! Ile Seduce Me inayokuwa accessed from Tanzania haipo Vevo account bali ipo Vevo Youtube Channel account!!!
Lemme show you the difference!
Hapa chini ni Seduce Me iliyopo Vevo Youtube Channel Account:
View attachment 600248
Logo ya Homapage ni ya nani hapo juu? Kama una macho, utaona ni logo ya Youtube kuonesha hiyo ngoma inakuwa accessed from Youtube na sio Vevo! Kwa maana nyingine, hapo ipo Youtube na sio Vevo!
Na sasa hebu tuiangalie Seduce Me iliyopo Vevo account:
View attachment 600258
Look, wakati webpage logo ya mwanzo ni ya Youtube kuonesha kwamba hiyo ngoma ipo Youtube, webpage logo ya pili ni ya Vevo kuonesha hiyo ndiyo ipo Vevo. Hata interfaces zao zipo tofauti!!
But look again! Wakati juu kabisa kuna "Likes" 58K, yaani zaidi ya 58,000 kutoka Youtube, hapo chini iliyopo Vevo kuna Likes 37 TU!!! Hiyo inaonesha wazi kwamba Seduce Me inakuwa accessed more from Youtube na sio from Vevo na ndio maana huko Vevo kuna Likes 37 TU!!!
I can bet, walio-access from Vevo hawawezi kufika hata 10K.
Hizo Views 6.4 Million unazoona vevo ni kwa sababu over 99% zinatokea Youtube na sio Vevo!!!
Aidha, hiyo Vevo Youtube channel account inakuwa monitored na Youtube na sio Vevo!!! Na ndio maana hata zilipotokea tuhuma za udanganyifu wa Views kwenye akaunti ya Lady Gaga; hizo fake views zilifyekwa na Youtube na sio Vevo!!!
Kwahiyo hiyo mnayoita eti Vevo account ni Youtube Account iliyofunguliwa kwenye Youtube Channel ya Vevo!!!
Oh! Nimekumbuka! Unadai eti:
Bado unaamini kwamba wewe sio mtu wa kujadili upupu?! Again unadai eti:
Now tell me! Hivi hapo aliyefumaniwa na Mange ni sisi au wewe uliyelishwa viroja vya Mange nawe ukavibeba kama vilivyo!!!!
Oh!! Lazima utakuwa mfuasi wa Mange wewe manake siku kuu ya wafuasi wa Mange ni kufuata kila anachosema!!! But you know what! Jifunze kutafuta ukweli ili uishi kwenye user ID yako Truths manake uliyoongea ni uongo mtupu!!!!
Na labda nikupe darasa fupi la mwisho!!! Youtube wana system nyoko ya ku-detect any suspicious activity!!! Video inayo-trend #1 huku ikiwa na views wengi ndani ya muda mfupi katu isingechukua saa 12 kabla wale views hawajafyekwa!!!!!
Biashara kubwa ya Google/Youtube ni matangazo. Miongoni mwa hayo matangazo ni ya kampuni kubwa za IT huko mbele!! Haya makampuni ya IT katu yasingekuwa yanapeleka matangazo sehemu ambayo matangazo hayo yangekuwa yanaangalia na Fake Viewers!
Again, bado unaamini ulichokuwa unasema sio upupu?! Aliyefumaniwa na Mange hapo ni sisi au wewe uliyelishwa upupu!!!
Huyo jamaa nimemfuatilia comments zake yupo vizuri sanaMkuu, kwanza nakupa Heko kwa wewe kuja na hoja zenye maelezo ya kina Ku refute hoja za kununua viewers Youtube.
Kwa nujibu we Mange.
Tatizo wengine humu hawajengi hoja, wanaishia kubwabwaja kua ukimkosoa msanii ni kwamba unamuonea wivu.
Sina cha kukupinga Mkuu, unless Nina evidence.
Pia siwezi kusema unamchukia Ali kiba kwasababu umempinga Mange kwa Hoja na kimahesabu
Hoja zako zimejipambanua kua zipo "free from hate".
Madai yangu yalilenga kupinga manung'unuko yenye mihemuko bila ujenzi wa hoja
Big up mkuu.
Big up.
Hii case, sitaki kuiongelea.@ Gari gani hilo alilomnunulia wema?
As far as I remember alimnunulia gari moja ambalo ni Murano na mama yake alipolipeleka akakuta kumbe keshanunuliwa Bmw na zawadi ya diamond ikaonekana si chochote kwakuwa kumbe bidada alikuwa ndo ameamua kumbwaga na gari akauza eti hataki murano.
Ni Sawa lakini, Gwajima aligusia hili.Yule jamaa hua hakosei kitu. Na nadhani alitoa to signal. Bundle zima analo yeye. I have huge respect in him when it comes to issues.Hayo masuala ya freemasons
Tufanye hivyo, ili tupambane na hali zetu.sijui kutakatisha pesa chafu hayana hata ushahidi ni maneno ya mtaani tu.
Nikupe mfano mmoja, Ipo video, Dai mwenyewe anathibitisha hilo kua ana mtoto mkubwa kuliko Tiffah aliezaa na Mwanamke mmoja kabla.Kuzaa na wanawake Hovyo kazaa na wangapi unaowafahamu? Kazaa na wanawake wawili zari na hamisa au kuna mwingine aliyethibitika kuwa kazaa naye?
Ni kweli Mkuu.Huyo jamaa nimemfuatilia comments zake yupo vizuri sana
We jamaa bwana, Ngwajima mond alimwambia insta kama kweli anazo hizo video azitoe. Ngwajima akawa kimya.Ni kweli Mkuu.
Kinachonitofautisha Mimi na wewe ni uelewa kuhusu Freemansonry.We jamaa bwana, Ngwajima mond alimwambia insta kama kweli anazo hizo video azitoe. Ngwajima akawa kimya.
Ya kuambiwa changanya na za kwako u freemasons ungekuwa rahisi hivyo kwanini ahangaike kukata mauno na kutangaza sana kazi zake si angeimba tu halafu ela ikaingia.
Mkuu kwa mambo unayoongea hapa nina mashaka hata kama uelewa wako juu ya freemasons ni wa uhakika.Kinachonitofautisha Mimi na wewe ni uelewa kuhusu Freemansonry.
Wewe unaamini MTU akisha ingia to akawa member basi hafanyi kazi yoyote tena, anabaki kukomba Pesa na Utajiri usio na jasho.
Fahamu Hata yule Chande alikua akifanya kazi.
Pili
Mimi naamini kwenye dhana yao ya "To make a perfect Man better".
Sasa nikianza kufafanua hapa ndio utaelewa kwanini nakubaliana na hoja za Gwaji.
Na naelewa pia ni kwanini Gwaji aliamua kukaa kimya.
Japo unasema Mondi alimueleza Insta kua alete ushahidi. Ninaweza kukiri niliisoma. Ila ninajua kwanini Gwajima aliamua kuipuuza.
Hii ni hekima kubwa Sana.
Remember, Gwajima alishaombwa msamaha na Dai. Lakini akaamua kubwatuka! iwe kwa makusudi ama bahati mbaya kua angesema Jinsi Daily alivyojiunga na mansonry.
Gwaji Anajua fika alishaombwa msamaha na Dai kupitia mitandaoni.
Hata mitandao ilimnukuu Dai aki apologize.
Ina maana hata waungwana wanaweza kukubali kua Gwajima anapaswa amsamehe mondi.
Response ya Dai, inaonyesha kukasirika na Ku panic baada ya Gwaji kujibu.
Sasa ikiwa Gwaji ataendeleza Ina maana yeye Gwaji ndiye atakua mshari kwasababu Mondi alisha mua apologize na watanzania ni mashahidi waliona kilakitu.
Njia sahihi ni kumfanya Dai abaki innocent.
kwa Mondi kusema Gwaji alete ushahidi, kisha Gwaji anapotezea. Ili kuonyesha kua hakua nao ama Ame mgwaya. Hapa mtaona Gwaji hawezi lakini inabidi iwe hivyo ili kumrudishia Dai reputation yake.
Lakini cha msingi signal itakua imemfikia Mondi kwamba Gwaji anamfahamu A to Z, ila amemstahi tu.
Hii ni picha tu moja nakueleza katika angle tofauti.
Nina uhakika, Dai hawezi thubutu kuliamsha dude sio yeye wala mlezi wake bashite.
Usichokijua kikalie kimya, acheni ushabiki maandazi. Viewers kuna Organic na Inorganic.Tunamaanisha unamnunua IDD ma computer Wa Sinza kwa Tsh 50,000/- anakutengenezea robbot App kwenye computer kwa ajili ya fake views.
Mkuu wabongo wanapenda shikiwa akili na wakishamiamini mtu kila atakachosema basi.Usichokijua kikalie kimya, acheni ushabiki maandazi. Viewers kuna Organic na Inorganic.
Organic viewers ndiyo halisi, Inorganic viewers ndiyo feki.
UTAMJUAJE MWENYE KUTUMIA INORGANIC VIEWERS?
Inorganic viewers huwa hawadumu, leo wanaweza wakawa 1 million ukija kuamka kesho wapo 100. Ukiona mtu ana viewers wengi halafu wanapungua ghafla kila siku, hao ndiyo fake.
Sasa jiulize wa Diamond wapo hivyo?