Alikiba vs best nasso

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
19,932
Reaction score
34,916
Wapenzi wa burudani mnaonaje kuhusu aina ya nyimbo na maudhui wanayoimba hawa wasanii.Ni yupi unamkubali zaidi,unafikiri wangekuwa watunzi wa stori za maisha wangefanya vizuri zaidi? "BEST NASSO SONGS" 1.Edgar 2.Maisha ni utata 3.Mamu wa Dar 4.Narudi Kijijini "ALIKIBA SONGS" 1.Mapenzi yanarun dunia 2.MacMuga 3.Karim 4.Dushelele 5.My Everything
 

Baba umegonga ikul ngoja waamke wenyewe
 
Wangekuwa ni watunz wa riwaya wangeuza zaidi...kuliko sasa kwenye mzik.wangekuwa na mafanikio km kina shigongo na shalua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…