Alikiba sio star?

Acha umbea mtoto wa kiume ingekuwa hivyo usingehangaika kumzoom na kisimu chako cha mchina
 
Mshamba ww hio nime zoom umbali wa mita zaid ya 50 nilikuwepo.. hujui kutofautsh picha ya kuzoom..natumia sim kubwa zaid yko
Sawa... Tecno yako ni kubwa kuliko simu yangu. Ila usisahau ukubwa wa pua si wingi wa makamasi
 
Acha uongo..Jana timu yetu na kina Kiba hatukuvaa jezi hizo tulivaa jezi white..kuhusu watu akuna timu inayojaza watu kama timu yetu maana watu wanajua Ally Kiba yupo..

Wazee..watoto..vijana .wanafunzi pindi timu yetu inacheza wanajitokeza kwa wingi kuja kumuangalia Kiba. Hata mpira ukimalizika wamekuwa wakimzingira kutaka picha au kumshika lkn kutokana na sababu za kiusalama amekuwa akikimbia kuepuka lundo la watu wanaomzunguka..

Hiyo picha uliyotuma ilikuwa ni mara ya kwanza kiba kaja na watu hawakujua kama anakuja pia atacheza
 
Wapenzi wa mpira sio wapenzi wa watu kama hao, angekuwa Okwi ungeona tofauti.
 
Njoo tabat shule siku moja utamuon ten kwavile timu yao imeingia nusu fainal hatokosa kuja na X5 yake
Tabata shule mbona mara moja moja aje uwanja wa sigara karbu na the great park atamuona mpaka achoke na selfie atapga jamaa ana noma!!
 
Inasemekana Mond akienda mahali, anakodisha watu anawajaza kwenye daladala 5-10 kisha wanatangulia eneo la tukio ili akitokea tu, wajifanye wanamshobokea kumbe amewanunua!!!!
Hii ndio tunaita mbinu za kibishiara sio una kaa kizembe zembe tuu
 
Prezdaa Piere Nkuruzinza nae anachezaga sana boli. Watu na hobby zao. Mtu anaishi maisha yake watu mnasema hajui market strategies,najiuliza hata maana ya hayo maneno unayajua?! Maana ungejua usingeandika hivyo
 
acha ujinga weweeeee """ nadhani hkuna asiyemjua BOB NESTA MARLEY""" mbona alikuwa anacheza kabumbu nawatu hawamshangai"" nawala hajawahi kushuka kisanaa mpka hivi leo ..ijpokuwa nimfu
 
We fala kweli,

kina Neymar, Messi, C. Ronald etc..
wanacheza Mpira,

Kwahiyo sio ma-Super Star???
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…