Alikataa nisimuoe kisa ualimu

Kuna kitu inabidi tujue kwenye maisha kuna vitu ukivipita hamna kuvirudia tena.
Kwahio unataka umuumize akupendae kwa kwenda kwa aliekuumiza.
 
mshika mawili moja humponyoka au kukosa yote

Soma tena polepooole hapo [emoji115] ikukae akilini.

Acha kudanganyika kwa karanga za kuonja.
 
Maisha ndo pengine yamemgonga ila bado ni yule yule,,, hapo unakaribisha nyoka nyumbani....
 
KAMA TANGU UANDIKE HIKI KISA Umewahi kujaribu kuzini naye au umerudiana au bado upo naye as a side chick... Hakika wewe ni mpumbavu mjaa laana wa mwisho... Utapata pigo ndoa yako itayumba ushangae na roho yako... Baki na mkeo mheshim mkeo alikupenda kwa dhati ukiwa ktk hali ambayo wengine walikupuuza... Omba Toba acha usenge
 
The man who runs after two rabbits will catch neither.
 
Alete mrejesho tu,ilikuaje baada ya kurudiana naye
 
We Tulia na mkeo over
 
Yaani vitu wala sio vya kuchukua hata dk 2 kufanya uamuzi!,kimbiza hiyo mapepe haraka.
 
Tulia nae kwanza umsome lengo lake wanza usimkurupukie
 
Mtu alikukataa leo unataka kupasha matapish we ms*nge nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…