Hiyo ndo shida ya kutoa kuwa guide madogo wakiwa chini, yeye anaipenda PCM ila hakuwahi kuiweza,mtu anayeliweza somo hawezi pata F hata akiingia mgonjwa,hakufuatiliwa mapema kusaidiwa anaweza nn,mm nilikuwa napenda ECA ila kakaangu kuna siku nikiwa form two aliangalia matokeo yangu akaniambia achana na hui mpango komaa na EGM na kweli nilifaulu vzr olevel na A level na nilichaguliwa EGM minaki ,,kwa hapo mshaurini apende alichofaulu vzr hata kama ni HKL kwani matokeo ya advance hayana direct effect na kile atakachosoma chuo....kuna jamaa zangu walisoma HKL na Leo ni wahasibu wazr,kuna watu walihangaika PCB na Leo ni ma hr....