Aliipenda sana PCM

sifa hana hata kusoma certifcate ya engineering ni heri angeferi hata kemia kuliko physics coz huo ndo msing wa fani zote za engineering nimekwambia bora ungeferi kemia ninamaana kubwa kwan sifa za kusoma hizo fani kupitia advance unatakiwa usoma kombi kama PCM, PGM, PCB so P una "f" ukiingi nacte sifa uwe na pass walau Ds za masomo tajwa hapo juu ili udailiwe ktk vyuo kama MUST, DIT, na ATC mimi siku laumu umefaulu vizur tatizo mfumo wetu wa elimu sio mzur mtu unasoma masomo meng unafauru yote lakin huyatumii huyo dogo ameweka effort ktk masomo mengine na kupoteza somo muhimu kwake kama hilo, tupunguze wing wa masoma ili tupunguze kukalili mfumo wa combination ulitakiwa kuanza 4m3 baada kufauru 4m2 na atachaguliwa ktk masomo ma3 aliofaulu kwa wastan wa juu ila civcs na english yatabaki kama masomo ya lazima kwa comb zote then ataenda advance baada ya kufauru hayo komb yake hapo ndo tutapa watu wenye tija ktk taifa hili
 
Nimekusoma mkuu. Hapo kunachangamoto kubwa kwenye mfumo.
 
Surely wakuu mfumo wa elimu yetu ndio mbovu lakini Nina wasi wasi na elimu ya mawaziri wetu coz kila waziri anaeingia utasikia Sela ya elimu imebadilika duh uncle Magu tumbua jipu kwenye Elimu
 
Kama Haijui Physics Basi Na Ajaribu Kuitiaga Mkono Advance Aone Mziki Wake Yaani anataka Kuianza Safari akiwa ana →→→→F ?
 
Ndugu wana JF,

Kuna dogo langu alipenda sana kusoma PCM advance amekuwa akifanya vizuri katika mitihani ya darasani ila kilicho mkuta NECTA form four 2015 hakuamini matokeo yake yapo Hivi; DIV II 20 CIV B KISW C CHEM C ENG C GEO D BIOS D PHYS F B /MATH HIST C .

Anasema hawezi Comb yeyote Ile ya art tofauti maana hata history ndio matokeo yake ya Physics coz aliichukia Sana history.

Wadau ushauri please kuhusu dogo maana dogo hata nikimtest bado yupo vizuri physics je atafanya Nini?
ni kombi nzur bt ni moja ya kombi inayopoteza ndoto za mainjinia na madaktar watarajiwa cmkatish tamaa dgo binafs nilipga hyo kombi na nilipata S kwahyo kama anaipenda bas mpeleke private nzur na umwambie asome sana hakka atafanikiwa lakn pia mwambie anaweza kupga bridge course ktk vyuo vya ufund na kufkia ndoto zake
 
sifa hana hata kusoma certifcate ya engineering ni heri angeferi hata kemia kuliko physics coz huo ndo msing wa fani zote za engineering nimekwambia bora ungeferi kemia ninamaana kubwa kwan sifa za kusoma hizo fani kupitia advance unatakiwa usoma kombi kama PCM, PGM, PCB so P una "f" ukiingi nacte sifa uwe na pass walau Ds za masomo tajwa hapo juu ili udailiwe ktk vyuo kama MUST, DIT, na ATC mimi siku laumu umefaulu vizur tatizo mfumo wetu wa elimu sio mzur mtu unasoma masomo meng unafauru yote lakin huyatumii huyo dogo ameweka effort ktk masomo mengine na kupoteza somo muhimu kwake kama hilo, tupunguze wing wa masoma ili tupunguze kukalili mfumo wa combination ulitakiwa kuanza 4m3 baada kufauru 4m2 na atachaguliwa ktk masomo ma3 aliofaulu kwa wastan wa juu ila civcs na english yatabaki kama masomo ya lazima kwa comb zote then ataenda advance baada ya kufauru hayo komb yake hapo ndo tutapa watu wenye tija ktk taifa hili
mkuu vp vgezo vya bridge course kwenye hvyo vyuo anaweza kupata?
 
briging course waweza kupiga wala aina shaka ila tatizo moja kwamba ingekua unaomba moja kwa moja chuo ungepiga ila mwaka huu mfumo wamebadili fani zote unaombea nacte na wao wameweka vigezo vyao kama nilivyo kutajia hapo juu so kama umekosa sifa wao hawawezi kukudahili kwahiyo naona kama briging courz inakufa kiaina ila usikate tamaa nenda moja kwa moja kwenye vyuo husika watakusaidia kuhusu hiyo courz ili upate sifa stahiki ya kuaply through nacte nenda DIT au st joseph university ya pale mbez luguluni kama uko DAR
 
Ndugu wana JF,

Kuna dogo langu alipenda sana kusoma PCM advance amekuwa akifanya vizuri katika mitihani ya darasani ila kilicho mkuta NECTA form four 2015 hakuamini matokeo yake yapo Hivi; DIV II 20 CIV B KISW C CHEM C ENG C GEO D BIOS D PHYS F B /MATH HIST C .

Anasema hawezi Comb yeyote Ile ya art tofauti maana hata history ndio matokeo yake ya Physics coz aliichukia Sana history.

Wadau ushauri please kuhusu dogo maana dogo hata nikimtest bado yupo vizuri physics je atafanya Nini?
Daaah ebhn dg anaipenda physics bt phy aimpend....a level c mchzo kk
 
hapan kwa matokeo yake jinsi yalivyo anaitaj angalau D pekee ya physics ili afanye paper ya 4m6 coz credit anazo za kutosha na wapo watu walipiga advance wakiwa na D tu na mwisho kutusua vizur
 
Akafanye diploma ya ualimu wa, shule za msingi sayansi mbona yupo fresh tu huyo
 
phz huko advance ni zaidi ya olevel
NAkumbuka wakati ule wa Old Moshi high School, Wakati huo shule ilikuwa madume tupu, wote Combinations za vichaa PCM and PCB. Thanks God sikuiabisha. (Div I-9) si mchezo. Huku O level nikiwa na Div I ya 11( yenye A,B,B ya PCM).
 
Ndugu wana JF,

Kuna dogo langu alipenda sana kusoma PCM advance amekuwa akifanya vizuri katika mitihani ya darasani ila kilicho mkuta NECTA form four 2015 hakuamini matokeo yake yapo Hivi; DIV II 20 CIV B KISW C CHEM C ENG C GEO D BIOS D PHYS F B /MATH HIST C .

Anasema hawezi Comb yeyote Ile ya art tofauti maana hata history ndio matokeo yake ya Physics coz aliichukia Sana history.

Wadau ushauri please kuhusu dogo maana dogo hata nikimtest bado yupo vizuri physics je atafanya Nini?

Umenikumbusha mbali nilipenda sana EGM but geography nilipata F ikanibidi nijiunge na statistic Chou cha takwimu EASTC huku nime kuwa napata A tuuu za hesabu mpaka raha mwambie Ajaribu na kwengine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom