Alifungwa babu Seya na mziki ukaendelea, itakuwa Yanga!!!

manchoso

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
1,606
2,055
Wana yanga tusikate tamaa

Timu yetu imeonyesha bado ina uwezo wa kupambana na tuendelee kuipa moyo

Kiukweli simba imetuzidi uwezo wana wachezaji mahiri kila idara wanacheza na kupanga mashambulizi kiuhakika kuliko yanga ''it was a game between beauty and the beast''

yanga japokuwa tuna timu dhaifu ila tulikomaa kikweli kikweli hususan kipindi cha kwanza, hivyo haina haja ya kumtafuta mchawi nani,

kama wachezaji wa yanga wataendelea kucheza kwa kujituma kama jana wanaweza wakachukua ubingwa

YANGA MBELE DAIMA NYUMA MWIKO
YANG.jpg
 
Bakuli fc
Mlikufa kiume.
Pamoja na kumtumia Tambwe ili aupakate mpira kwa nia ya kufunga lakini jana refa alimwona akamlima kadi ya njano. Teheteheteheeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna ule msemo watu wanatanianaga, unaulizwa vipi walifanikiwa kunanii, unajibu, "kwa taabu sana"
nyie underdog endeleeni kupiga domo ila ubingwa unaenda jangwani
ninamuamn sana makambo hatoniangusha
 
Back
Top Bottom