LaRosa
JF-Expert Member
- Jul 3, 2020
- 952
- 2,876
- Thread starter
- #41
Ngoja nijaribu kuwacheck maana naona hakuna updates tena kwangu.Ingia website ya Posta, kuna sehemu unaweza ku track mzigo kama umewafikia kwa kutumia namba ya mzigo.
Binafsi nilishawahi kuagiza mizigo na ikafika ila posta wakachelewa kunitaarifu, kwaiyo huwa natumia website yao kujua mzigo wangu upo wapi kama nilikonunua wamenijuza mzigo umefika.