Alietayari kuolewa

Alietayari kuolewa

gx100

Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
8
Reaction score
1
Hi wana Jf
Natafuta mchumba mwaminifu ili aje kuwa Mke wngu. Aliyetayari ani PM.
Umri wangu ni 37, urefu sm 150, elimu yangu ni ya kawaida lkn nitafurahi sana atakayekuwa tayari bc angalau awe na stashaha au shagada.
 
Wewe ni mwaminifuu?,hujawahi kuwa na mwanamke? Tutathibishaje uaminifu wako?
 
...wanawake wa mtandaoni mkuu si wa kuoa. labda kama unataka kuoa kwa mkataba wa miezi3 au 6.
 
Unaowa shahada, stashahada au mwanamke mwenye tabia njema? Acha uzembe uwe tayari kutunza familia bila utegemezi wa mwanamke.
 
Acha utani mkuu.....kwan we unakaa dunia gan? Ina maana mtaan huwaon au? au unafikir wa humu hawakai mtaan?
 
Wewe ni mwaminifuu?,hujawahi kuwa na mwanamke? Tutathibishaje uaminifu wako?

Najua alie tayari hatokuja kichwa kichwa na ndo nimeweka kigezo cha elimu ili atumie kipawa chake kunichunguza kabla hajaamua kuwa mchumba na baadae mke.
 
Unaowa shahada, stashahada au mwanamke mwenye tabia njema? Acha uzembe uwe tayari kutunza familia bila utegemezi wa mwanamke.

Elimu ni sehemu tu ya kigezo changu na sitanii nina nia ya dhati
 
Jamani wana JF habari za tangu jana ?, nmerudi tena humu na uzi wangu ule ule sitanii, nahitaji mchumba.
 
Hi wana Jf
Natafuta mchumba mwaminifu ili aje kuwa Mke wngu. Aliyetayari ani PM.
Umri wangu ni 37, urefu sm 150, elimu yangu ni ya kawaida lkn nitafurahi sana atakayekuwa tayari bc angalau awe na stashaha au shagada.

"Shagada?"
 
nguvu za kiume unazo ktk umri huo? au ndo washazimaliza unatafta mtu wa kumtesa kwa migenye mwaka mzima? na ulikuwa wapi sku zote hzo?
 
Hi wana Jf
Natafuta mchumba mwaminifu ili aje kuwa Mke wngu. Aliyetayari ani PM.
Umri wangu ni 37, urefu sm 150, elimu yangu ni ya kawaida lkn nitafurahi sana atakayekuwa tayari bc angalau awe na stashaha au shagada.

Nitafute, unaweza ukanifaa aisee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom