Aliekuwa mbunge wa Chalinze azikwa

Aliekuwa mbunge wa Chalinze azikwa

Kasho anarudi Davos kwani mkutano haujaisha na baada ya hapo ana ziara ya kiserikali Papua New Guinea!!! Akiatoka huko anaunganisha na ziara ya Australia kwa wiki mbili!!!

Toba Rabi!!!! Ila nasikia shughuli nyingi za serikali zimesimama kwenye baadhi ya Wizara na taasisi zake!!! Hawana OC kwa muda mrefu na kama wakipata ni kidogo na magari mengi yamegeshwa hakuna mafuta wala matengenezo na service!!! Mwenye taarifa zaidi atusaidie hela ya revenue imeenda wapi??? Wafanyakazi wenu mishahara hakuna au wanalipwa nusu bila allowance zitokanazo na OC. Tumechoka kukopesha mitaani!!
 
Rais Kikwete aalikwa Nigeria na Rais Jonathan

Rais wa Nigeria Mheshimiwa Goodluck Jonathan amemwalika Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kuhudhuria Mkutano wa Taasisi ya Uchumi Duniani Afrika (WEF-Africa) unaofanyika katika mji mkuu wa Nigeria wa Abuja mwezi Mei mwaka huu.

Rais Jonathan ametoa mwaliko huo kwa Rais Kikwete wakati viongozi hao wawili walipokutana na kufanya mazungumzo leo, Alhamisi, Januari 23, 2014, kwenye Hoteli ya Intercontinental, Davos, Uswisi, ambako viongozi hao wanahudhuria wa Mkutano wa Mwaka huu wa Taasisi ya Uchumi Duniani –WEF.

Rais Kikwete amekubali mwaliko huo wa kuhudhuria Mkutano huo uliopangwa kufanyika Mei 7-9 mwaka huu mjini Abuja, Nigeria.

Mkutano huo kati ya viongozi hao wawili umehudhuriwa na Mawaziri wa Nigeria wa Mambo ya Nje na Fedha na Uchumi.

Nigeria inakuwa nchi ya nne katika Afrika kuandaa mkutano huo. Kwa miaka mingi, mkutano huo wa WEF-Africa ulikuwa unafanyika Cape Town, Afrika Kusini mpaka Tanzania ilipofanikiwa kuwa nchi ya kwanza ya Afrika nje ya Afrika Kusini kuandaa Mkutano huo mwaka 2010.

Tokea wakati huo, Ethiopia imeandaa mkutano huo na sasa Nigeria.

Imetolewa na:

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,

Ikulu,

DAR ES SALAAM.

23 January, 2014

Tena!!!! Asante ndugu kwa taarifa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihidimiwe. Apumzike kwa amani Bwnamdogo. Amina
 
Haya mmemaliza kuzika huyo nasikia kuna mwenyekiti wenu na yeye amefariki.

NB:
Magamba tubuni hasira ya Mungu inawaka juu yenu.
.ushauri wako ni mzuri!!Hivi uliwahi kuona shetani akitubu!!?Kwa kweli Mungu awapige tuu tumechoka!!!
 
Rais Kikwete aalikwa Nigeria na Rais Jonathan

Rais wa Nigeria Mheshimiwa Goodluck Jonathan amemwalika Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kuhudhuria Mkutano wa Taasisi ya Uchumi Duniani Afrika (WEF-Africa) unaofanyika katika mji mkuu wa Nigeria wa Abuja mwezi Mei mwaka huu.

Rais Jonathan ametoa mwaliko huo kwa Rais Kikwete wakati viongozi hao wawili walipokutana na kufanya mazungumzo leo, Alhamisi, Januari 23, 2014, kwenye Hoteli ya Intercontinental, Davos, Uswisi, ambako viongozi hao wanahudhuria wa Mkutano wa Mwaka huu wa Taasisi ya Uchumi Duniani –WEF.

Rais Kikwete amekubali mwaliko huo wa kuhudhuria Mkutano huo uliopangwa kufanyika Mei 7-9 mwaka huu mjini Abuja, Nigeria.

Mkutano huo kati ya viongozi hao wawili umehudhuriwa na Mawaziri wa Nigeria wa Mambo ya Nje na Fedha na Uchumi.

Nigeria inakuwa nchi ya nne katika Afrika kuandaa mkutano huo. Kwa miaka mingi, mkutano huo wa WEF-Africa ulikuwa unafanyika Cape Town, Afrika Kusini mpaka Tanzania ilipofanikiwa kuwa nchi ya kwanza ya Afrika nje ya Afrika Kusini kuandaa Mkutano huo mwaka 2010.

Tokea wakati huo, Ethiopia imeandaa mkutano huo na sasa Nigeria.

Imetolewa na:

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,

Ikulu,

DAR ES SALAAM.

23 January, 2014

Akitoka Nigeria anakwenda U.S.A kwenda kuonana na Obama!!! Kwani ukialikwa huwezi kuomba udhuru na kumpeleka mwakilishi wako; mambo yanayokwenda jadiliwa ni ya kiserikali na sio personal hivyo hata akituma mwakilishi ni sawa tu kwani itatupunguzia mizigo!!!
 
Back
Top Bottom