so far john wick 1 ina kisa very intense zaid kwa upande wangu labda tuisubiri john wick 4 kuja amua itakuwaje!!...
Naona kama jamaa aliwekeza nguvu kubwa kwenye Replicas akaja poteza ladha flani kwenye hii wick 3 au sijui kwa vile ameweka watu wengine kumsaidia what he does best as a Boogeyman.. I don't know!.