Aliealika wazee wa DSM kukiona cha moto.

Mjomba wa taifa

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2012
Posts
231
Reaction score
161
Ndugu wanaJF hii ni taarifa kuwa, mtu aliekabidhiwa jukumu la kukusanya wazee Wa Dar es salaam ili kwenda kujaza ukumbi Wa Diamond Jubilee kumsikiliza Rais akihutubua amewekwa kikaangoni na kibarua change kipo kikaangoni.

Habari zilizopo mezani ni kuwa mzee ametaka Mara moja kujua ni nani alieleta watu wale maana si wazee wa DSM ambao mzee amewazoea wa kupiga vigelegele na Makofi. Habari za kuaminika ni kuwa aliepewa jukumu la kukusanya wazee aliingizwa town baada ya kutoa tenda kwa vijana wa chuo cha mwalimu nyerere Kigamboni, bahati mbaya wakaleta wazee toka Mji mwema ambayo ni Kambi ya UKAWa. Kilichotokea ukumbini Leo hii ni tofauti-na ilivyozoeleka maana wazee walikuwa active muda wote na bila kushangilia kila asemalo mzee.

Kibaya zaidi ni pale walipomfanya mzee abadili msimamo kwa kuona upepo umechange ukumbini ikabidi mzee apate kigugumizi ghafla na kujikuta akimmwaga pasipo kupanga mama Tibaijuka.

Kitendo walicho kifanya wazee kwa kumkazia macho na miguno ya hapa na pale huenda jiji la DSM likapoteza tena nafasi ya wazee kuongea na Raids, tayari kuna fununu kuwa mikutano mingine yote mzee ataongea na wazee Wa Dodoma tu.
 
Dar siyo ile uliyo izoea,Dar ni UKAWA,angalia tu ushindi wao kwenye mitaa
 
Sioni ukweli...wale wazee walipotezwa na rais mwenyewe baada ya kuanza kuongelea technical issues ...anaanza shares,symbion, aggreko, sasa wazee wakashindwa kujua wapi washangilie wapi watulie!! Sioni sababu ya kuwatosa walioandaa labda kama Wangewakochi kwanza!!
Pia wazee walishindwa kuzuia hisia zao ambazo ni common kwa mtanzania wa sasa yani kumzomea mwizi!!
 
Hata wazee wa Dodoma wamebadilika,bora awatumie vijana wa UKAWA for best results
 
lini atakuja kuongea na wazee wa Mwanza ambao wao na vijana wao walisha idileti ccm siku nyingi...?
 
Mkuu kwa hili la ESCROW hata kama angeongea na Wazee wa Msoga na Chalinze lazima wangemdindia tu!!! Hapakuwa na namna ya kuwaokoa MAFISADI! Bahati mbaya sana yule Anna alianza kumzalilisha Rais ... Muhongo et al Must go kwa mustakbali wa CCM ....

Ndugu wanaJF hii ni taarifa kuwa, mtu aliekabidhiwa jukumu la kukusanya wazee Wa Dar es salaam ili kwenda kujaza ukumbi Wa Diamond Jubilee kumsikiliza Rais akihutubua amewekwa kikaangoni na kibarua change kipo kikaangoni.

Habari zilizopo mezani ni kuwa mzee ametaka Mara moja kujua ni nani alieleta watu wale maana si wazee wa DSM ambao mzee amewazoea wa kupiga vigelegele na Makofi. Habari za kuaminika ni kuwa aliepewa jukumu la kukusanya wazee aliingizwa town baada ya kutoa tenda kwa vijana wa chuo cha mwalimu nyerere Kigamboni, bahati mbaya wakaleta wazee toka Mji mwema ambayo ni Kambi ya UKAWa. Kilichotokea ukumbini Leo hii ni tofauti-na ilivyozoeleka maana wazee walikuwa active muda wote na bila kushangilia kila asemalo mzee.

Kibaya zaidi ni pale walipomfanya mzee abadili msimamo kwa kuona upepo umechange ukumbini ikabidi mzee apate kigugumizi ghafla na kujikuta akimmwaga pasipo kupanga mama Tibaijuka.

Kitendo walicho kifanya wazee kwa kumkazia macho na miguno ya hapa na pale huenda jiji la DSM likapoteza tena nafasi ya wazee kuongea na Raids, tayari kuna fununu kuwa mikutano mingine yote mzee ataongea na wazee Wa Dodoma tu.
 
Ya leo ilikuwa mbaya sana. Hadi alipata kikohozi akajiuliza "sijui kwa nini napata kikohozi - alibanja ghafla". Ukweli ni kuwa yeye mwenyewe alikuwa anaongea asichokiamini. Wazee walimwelewa - ila alichokuwa anakisema sicho walichotarajia. Wengi waliboreka sana pale walipoona hakuna mtu wa kuwajibishwa. Alichokiongea wengi wameshakisikia na wazee wengi walitarajia rais atakuwa na cha ziada. Hakikuwepo, wazee wakajikuta wanakosa subira. Kimsingi kuna mahali walizomea kabisa, Aaaahh!
 
Kusema ukweli kamati nzima iliyo ratibu mfumo wa wazee hawa wa leo, ina makosa. Walifahamu tangu wiki iliyopita kwamba wazee wanatakiwa kuperform kwenye show ya raisi. Kwa nini hawakuwakusanya wakafanya rehearsal hadi muda wa maonyesho unafika hawajaandaliwa?

Hawa ni haki wawajibishwe kuliko hata wezi wa escrow, wala wala walioharibu uchaguzi wa serikali za mitaa. Kosa la hawa ni kubwa kwa kweli. Naunga mkono hoja.

Sioni ukweli...wale wazee walipotezwa na rais mwenyewe baada ya kuanza kuongelea technical issues ...anaanza shares,symbion, aggreko, sasa wazee wakashindwa kujua wapi washangilie wapi watulie!! Sioni sababu ya kuwatosa walioandaa labda kama Wangewakochi kwanza!!
Pia wazee walishindwa kuzuia hisia zao ambazo ni common kwa mtanzania wa sasa yani kumzomea mwizi!!
 
Bora hii ritual ya kuongea na wazee sasa iwe inatumika kutoa hotuba za taifa tu. Maswala ya maamuzi yafanywe mbele ya watu wanaojua kuchambua hoja aiwezekani baada ya somo refu bado wazee wasielewe somo.

Hoja sio kuondoka kwa Tibaijuka tu maana in the end was the message interpreted.

I dont think so vinginevyo wasingepigia kelele kabla raisi ajaamua kumtimua Tibaijuka iwe kama ilipangwa au maamuzi ya papo kwa hapo it just shows wazee nao.
 
Haa haa angechukua wazee wa bagamoyo ama chalinze, maana muda wote wa hotuba wangekuwa wanashangilia tu! Mpaka kikohozi!
 
Mm nimemshangaa sana Rais wetu yaan ule ule utetez wa kijinga ndio yeye kauleta kwa taifa kusema ukwel mm sikuona sababu ya kumaliza kusikiliza hotuba yake ,kama Tibaijuka kaondolewa nan alifanya apate pesa?jibu ni waziri wa nishat bila kufanya ulipaji wa kijinga Tibaijuka asingepata pesa sasa Wazir wa Nishat anasubir uchunguz upi na wa nn? Rais sisi watu wazima wenzako angalia kauli zako hatuzielew kabisaaa
 
"Ningejua nisingetumia hadhira ya papo kwa papo" huenda anawaza hilo
 
Back
Top Bottom