Alidhani anapigwa picha.

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,229
Mwosha maiti akiwa mochwari akashangaa alipofungua nyuso za maiti 3 na kuona zinatabasamu.
Gafla akapiga simu polisi.
Mwosha maiti:afande ebu njoo angalia hizi maiti 3 mbona zimetabasamu?
Polisi:Nipo njiani nakuja.

polisi alipofika akazicheki na akawakumbuka.
Mwoshaji:sasa kwanini walitabasamu.
Polisi:wakwanza alikuwa anafanya tendo la ndoa na housegirl wake huku akicheka,mara mke wako akamvizia na kumpiga
kwa rungu kisogoni.
Mwoshaji: Je na huyu wa pili?
Polisi:Huyo alijishindia tuzo akamaliza hela zote kwenye pombe,siku moja wakati yuko baa huku anaenjoy kinywaji kumbe
walimwekea simu.
Mwoshaji:Je huyu wa 3 nini kilimsibu?
Polisi:Aah huyo alikuwa anatembea kwenye mvua mara radi ikapiga kwa mwanga mkali ye akadhani anapigwa picha.
 
395312_316699275031412_184289921605682_1086928_648669018_n.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom