angalau wewe umenena. na hasa kwa afya ya nchi yetu. sio ccm wala chadema wala cuf itakayoleta vita tanzania, bali ukirsto na uislam kama hatutakuwa makini katika kuhandle hii ishu.
Tungefanya majadiliano lakn anayepaswa kusimamia hayo majadiliano yaani serikali haamaniki kwa kila upande. Mi nafikir tukubaliane kutokukubaliana. Tubadilishane madaraka kwa misingi ya dini kama Lebanon. Wafanyakazi wasekta ya umma wawe wanaajiliwa na jopo la umoja wa kidini. Rais aachiwe kuteua mawaziri wake tu.