Alichosema Putin kuhusu Afrika

Putini hapendi wajinga kama kina jk s100 kina Ramaphosa na pimbi zingine za kiafrika zinazoniita viongozi.
 
Dah! Viongozi wasio na Akili humu Africa, aisee ni hatari
Siyo tu Viongozi pamoja na watu wake kama vijana wa CCM kina Lucas Kistivi nyerere na wengine, kutwa mama,Mama.
Mama mwenye anauza rasilimali za inchi
Kwa hiyo elimu yetu haijatukomboa katika kujitawala wenyewe?
Imetuzalishia uchawa
 
Ukweli mchungu sana huu! Nchi nyingi za Afrika zimejaliwa raslimali za kila aina. Ila kwa bahati mbaya sana zimejaliwa kuwa na viongozi/watawala vilaza, wabinafsi, na makuwadi wa kuuza raslimali za nchi zao kwa Wazungu, Wachina na Waarabu!

Na pia nchi nyingi, kama siyo zote! zimenyimwa wananchi wazalendo na wanao jitambua! Yaani asilimia kubwa ya Waafrika (ukiniondoa mimi tu kwenye hilo kundi) ni misukule, maiti zinazo tembea, mapopoma, machawa, majinga ya mwisho kabisa, mabongotole, mataahira, mapoyoyo, mapungasese, makunguru, nk.
 
CHURA a.k.a Dalali sijui hata kama atasoma alicho SEMA PUTIN Kuhusu yy kua mateka w JK. Nina uwakika yuko bze kujua jinsia y mtoto w jux. Kuliko Mambo muhimu kama haya kwajili y nchi YAKE n watu wake. Na huu ndio ukweli wenyewe ndugu putin.
Asante
KAZI ni kipimo cha utu
 
Mbona hukumsaidia Asad! Umeamua kuwatukana waafrika kwa kumsifia muafrika,pumbafu sana wewe.
 
Sidhani kama
Put in ataweza kuzungumza lugha hiyo.
Ni kweli viongozi wa Afrika ni wabinafsi sana. Wangeaminiana na kushirikiana Afrika ingesonga mbele. Lakini ikumbukwe pia kuwa Putin ni Mzungu. Hivyo naye ana maslahi yake.
 
Hata mimi kijana wa kiafrika ambae najitambua, najua kikwazo cha maendeleo Afrika ni viongozi wetu.

Tuliowapa dhamana ya kutuongoza wanatufelisha, tena kwa makusudi naweza sema.

Kuna nyakati huwa nakubali kua kusoma na kuelewa ni vitu viwili visivyo na mahusiano kabisa.
 
Ni wapi tutaipata hii hotuba? Weka chanzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…