Kama ulikua hujui kuwa PUTIN amesema nini kuhusu AFRIKA wacha nikufahamishe;-
RAIS wa URUSI muheshimiwa VLADMIR PUTIN,
Jana amelihutubia taifa na kusema kuwa,
Kuna watu wananilaumu mimi na serikali yangu kuwa,
Kwanini naingilia masilahi yao kwa kuamua kumsaidia TRAORE,
Sasa leo wacha niwaambie ukweli wazungu,
Lakini pia wacha niwaambie waafrika ukweli,
Japokuwa ukweli huu utakua mchungu kwa waafrika lakini wacha niwaambie;-
"Katika kipindi cha chini ya miaka 20 ijayo,
UFARANSA itakuwa koloni la makoloni yake ya zamani,
Wala sihitaji kuanzisha vita dhidi ya UFARANSA,
Kile ninachohitaji ni kuzikomboa nchi za AFRIKA,
Hasa zinazo zungumza lugha ya kifaransa ambazo,
Kwa muda mrefu zimekuwa makoloni ya UFARANSA,
Nikizikomboa hizi nchi zikawa na nguvu na miundombinu ya kiuchumi,
Pamoja na kiteknolojia na kujisimamia wenyewe kijeshi,
Lazima UFARANSA itaanguka yenyewe kama tunda lililooza liangukavyo kutoka kwenye mti,
Nani kati yetu sisi wa ULAYA asiyejua ukweli mchungu kuwa,
Ardhi ya AFRIKA ina uwezo wa kulisha ULAYA, AMERIKA na ASIA yote,
Lakini kitu pekee AFRIKA ilichokosa ni viongozi wenye akili,
AFRIKA imebarikiwa rasilimali adimu duniani,
Lakini shida inaviongozi waliolaaniwa, wabinafsi,hawana akili na wanaojali familia zao kuliko nchi zao,
AFRIKA ina utajiri mara 20 zaidi ya ULAYA,
Lakini AFRIKA ni masikini ni masikini takribani zaidi ya mara maelfu kimaendeleo,
Ninachoweza kuwaambia waafrika ni kwamba,
Kama viongozi wao watadhubutu kujitambua,
Na kuunda sarafu moja ya pamoja kwa ajili ya AFRIKA mzima,
Nawahakikishia nchi nyingi za ULAYA zitakuja kuomba misaada AFRIKA,
AFRIKA inamiliki 70% ya maliasili zinazopatikana ulimwenguni,
AFRIKA inamiliki 70% ya malighafi zinazotumika kuunda silaha za nyuklia,
Na wazungu wanajua hilo lakini kwa kejeli,
Bado mpaka leo hii MAREKANI na UFARANSA,
Wanaujasiri wa kuiita AFRIKA kuwa ni bara masikini zaidi duniani,
Kwasababu tu kuwa wazungu hao wamefanikiwa kuwashika akili waafrika,
Na waafrika wenyewe walivyo kama mazezeta,
Wanaamini kuwa kujipendekeza kwa wazungu ndiyo ujanja,
Na wanaamini kuwa ULAYA ni sehemu bora kuishi kuliko AFRIKA,
Na wanaliona bara lao ni kama sehemu mbaya kuliko mabara yote duniani,
Sasa nimeamua kumsapoti ndugu yangu TRAORE,
Kwasababu yeye ameonesha kuwa anajitambua,
TRAORE anajitambua sana kuliko viongozi wote wa AFRIKA na raia wao,
Mimi kama PUTIN kama RAIS wa URUSI,
Nasema hapa leo kuwa nipo tayari kumsaidia kiongozi yeyote atakae jitambua AFRIKA,
Ila ujitambue kwelikweli kama TRAORE,
Lakini kama utakuja kwangu ukaniomba msaada,
Na kuniambia kuwa sasa wewe na raiawako munajitambua,
Na unataka kuikomboa nchi yako kwa kunidanganya,
Utajuta kuzaliwa kwani URUSI huwa haipendi mambo ya kijinga kijinga".....amesema PUTIN
Makala hii imeletwa kwenu na Dhulkad Madara kutoka Morogoro