Alichokosea David Cameron kura ya maoni

mafutamingi

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
2,773
2,182
Ni dhahiri Waziri Mkuu wa Uingereza david Cameron amefadhaishwa sana na matokeo ya kura ya maoni ambapo Waingereza walipiga kura ya kujiondoa Jumuia ya Ulaya. Matokeo haya yamemfanya atangaze kujiuzulu. Cameron alikosea kitu kimoja - baada ya kuone mwelekeo wa kura ambapo wanaotaka kujitoa wanaongoza angemwamuru "Jecha" wa Uingereza afute uchaguzi huo kutokana na kasoro mbalimbali zilizojitokeza. Lakini hata sasa bado hajachelewa, anaweza kufuta tu na ipangwe kura nyingine ya maoni!
 
Mambo ya ajabu ajabu hutokea afrika tu. Huko kwa wenzetu wanafuata katiba sio sisi tunakwenda kishabiki tu.
 
Cameroon alitakiwa kuja kuomba msaada Tz ........ upande wake ungeshinda bila figisu!
 
Back
Top Bottom