Bekabundime
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 2,016
- 1,732
Baki na umbumbumbu wewe,watanzania wanelewa majizi na mauaji yote,wanawaangalia na kuonesha kuwa wana wa support ili muendelee kibimba kichwa,wanacheka mdomoni lkn moyoni ni siri yao, huwezi vumilia serikali yenye kuleta njaa kama hiii,kazi hamna wawekezaji wanaondoka alafu mwenye akili eti akae na kushangilia anaeshangilia ni mabashite tu yaliyobebwa.Hapa kazi hatutaki siasa tunataka ugali.mlizoea zama zimebadilika..hampati kick tena watanzania wanajielewa sana
Aende faster anapoteza muda. Mambo mengine simple tu.umesoma mpaka mwisho umekimbilia kuandika pumba? "mimi Niko Nairobi, nitaitika wito wa polisi ukiletwa rasmi, sihitaji kuviziwa +255754360996 you can just call me or Whasup me !
Peter Msigwa.
Akiwahi kwenda itapunguza msako wanaoufanya simpleAende wapi..acha upumbavu..
Bashite anakujaje hapa?Baki na umbumbumbu wewe,watanzania wanelewa majizi na mauaji yote,wanawaangalia na kuonesha kuwa wana wa support ili muendelee kibimba kichwa,wanacheka mdomoni lkn moyoni ni siri yao, huwezi vumilia serikali yenye kuleta njaa kama hiii,kazi hamna wawekezaji wanaondoka alafu mwenye akili eti akae na kushangilia anaeshangilia ni mabashite tu yaliyobebwa.
Majitu yote yaliobebwa na wakati hayana vyeti ndio wwnaoshangilia serikali hii na ndio Mabashite baaada ya Bashite mkubwa kubebwa kwa lazima,kila siku unatafuta kick ya kuonekana unafanya kazi zaidi ya wenzake.Bashite anakujaje hapa?
Hakuna mahusiano kati ya maombi mipango ya Mungu. Mungu habadilishwi, anayebadili ni Mungu mwenyewe. Ikitokea watu elfu wakapiga magoti wakaomba. Je Mungu ataacha kusikiliza mpango wake kwa watu wake? Yuda alijinyonga ili mpango wa Mungu ubadilike kwa watu wake Je mpango wa Mungu ulibadilika?Kuna Mtanzania anaemuobea bwana yule anaetaka kuombewa
Hivi hiyo mijitu iliyompiga risasi haiwezi nayo ikavaa hizo T-shirts na kujichanganya kwenye hayo maombi, tena frontline, na kuyafanya kuwa kichaka cha kujificha yasiweze kukamatwa? I am just thinking aloud. Kwani hiyo feki plate namba haiwezi kuwa ya lori la mchungaji? Tuwaache polisi wafanye kazi yao. Mchungaji atii amri bila shuruti. Siasa tuweke kando hadi pale Lissu atakapopona kabisa. Michango ya pesa iendelee ila itumike kulipia matibabu tu na siyo kuwaweka akina mchungaji Nairobi.Badala ya Jeshi la Polisi kuwasaka waliompiga Risasi Lissu eti linawasaka watu wanaovaa T-shirt iliyoandikwa "Pray For Tundu Lissu" MAAJABU.
Aende wapi?Sasa si aende !!! Mbona anajichanganya ?
Viazi ni vitamu ni mihogo mkuuTuna police viazi nchi hii basi tu