Alichokijibu Muliro alipoulizwa kuhusu "Oktoba Tunatiki" na "No Reforms No Election"

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
889
Reaction score
2,863
Wakuu,

Huyu hapa ya Kamanda Muliro alipoulizwa kuhusu hizi slogan mbili ya No Reforms No Election pamoja na ile ya Oktoba Tunatiki

Hapa Muliro amesema kwamba ya Oktoba Tunatiki inafuata sheria maana kupiga kura ni jambo ambalo lipo kwenye katibas meanwhile hii ya No Reforms No Election yenyewe inaendana kinyume na Katiba na yeye atakuuliza unazuia Uchaguzi kwa kutumia sheria gani?

Msikilizeni Kamanda Muliro hapa. Hapa alikuwa kwenye Mdahalo wa Wadau wa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025

Watu wengi hasa mikoa yenye waumini wa kikristo hawatataka kupiga kura
 
Naomba kueleweshwa, kuna mahali katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano inayotamka neno 'kutiki na oktoba''

Ni kifungu gani kinachosema ''Oktoba tuna tiki''
 
Attachments

  • 91563e9d6c3e414d45bfed5150c85ceb_1755932474968.mp4
    17.1 MB
  • a552a6c0fe7ebc2a6c8f0205de284323_1755939487309.mp4
    6.2 MB
Wakuu,

Huyu hapa ya Kamanda Muliro alipoulizwa kuhusu hizi slogan mbili ya No Reforms No Election pamoja na ile ya Oktoba Tunatiki

Hapa Muliro amesema kwamba ya Oktoba Tunatiki inafuata sheria maana kupiga kura ni jambo ambalo lipo kwenye katibas meanwhile hii ya No Reforms No Election yenyewe inaendana kinyume na Katiba na yeye atakuuliza unazuia Uchaguzi kwa kutumia sheria gani?

Msikilizeni Kamanda Muliro hapa. Hapa alikuwa kwenye Mdahalo wa Wadau wa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025

IMG_20240428_070927.jpg

Kwa maana yake kamili:

Polepole kuitisha mifumo ya uchaguzi na NIDA kuhusiana na CCM kukaguliwa, ili kujiridhisha ina maana gani kiufundi?

Kabla ya hapo ya Morocco na chan yangali yapo yapo sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom