Alichofanya Rais ni sawa na kuanika udhaifu wa... halafu akaendelea kuishi nae!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Alichofanya Rais ni sawa na kuanika udhaifu wa... halafu akaendelea kuishi nae!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dumelambegu, May 22, 2011.

 1. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Wandugu,

  Hivi ipo tofauti gani kati ya staili aliyotumia rais kwenye semina elekezi ya hivi karibuni huko Lidodomya na mimi ambaye naamua kuweka hadharani udhaifu wa mke wangu mbele ya waandishi wa habari kwa mbwembwe zote halafu nikitoka hapo naendelea kuishi nae???
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,349
  Likes Received: 19,530
  Trophy Points: 280
  watu watatumia udhaifu wa mkeo then watam-mega
   
 3. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hivi kuna kitu ambacho Kikwete alikisema siku ile ambacho hakifahamiki? Alikuwa anatafuta kujitetea tu... ukichunguza kwa makini ni blame game inaendelea... Kikwete anataka udhaifu unaoonekana kwenye serikali yake uonekane kuwa unatokana na wasaidizi wake na wasaidizi nao, ingawa hawasema hadharani wanatangaza huku vipembeni kuwa hawana kiongozi
   
Loading...