Alichofanya Kennedy mna maoni gani?

Dabil

JF-Expert Member
Sep 30, 2021
5,885
13,263
Hii mechi ya Simba ilikuwa ngumu kwa sababu ya kosa la Kennedy, kwenye mechi kama ile halafu unaamua ku-Maguire ni kitu cha ajabu. Ile wala hata sio reflection bali kutoa kabisa pasi vizuri kwa adui.

Na wala jamaa hakujutia aliona kama kawaida tu,uzuri Kocha akaamua kumtoa kabisa hakurudi tena baada ya halftime.

Tukio la Kennedy mna maoni gani!
 
Hii mechi ya Simba ilikuwa ngumu kwa sababu ya kosa la Kennedy, kwenye mechi kama ile halafu unaamua ku-Maguire ni kitu cha ajabu.

Ile wala hata sio reflection bali kutoa kabisa pasi vizuri kwa adui.

Na wala jamaa hakujutia aliona kama kawaida tu,uzuri Kocha akaamua kumtoa kabisa hakurudi tena baada ya halftime.

Tukio la Kennedy mna maoni gani!

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni fundisho kwake next time akiwa na mpira maeneo kama hayo awe serious. Huwezi kukua kama hufanyi makosa. Nakumbuka kanoute alifanya kosa kama hili kule botswana na tangia hapo hajawahi kuchezea chezea mpira ndani ya 18. Ndo uzoefu wenyewe na Kennedy anabaki kuwa beki mzuri
 
Tunapowaambia Simba Kuna kiwanda Cha kuzalisha wajinga Taifa hili msibishee!!, Hivi kwa mtu mwenye akili timamu na ambaye anajua mpira anaweza kuja na mawazo ya kitoto Kama yako?, Umewahi kucheza mpira?, Mechi ya kwanza dhidi ya Singida hakucheza? Mbona hukutoa tuhuma hizi?. Ndio maana kwenye nyuzi za wapuuzi wa mwaka 2023 nilikutaja.... Una ushambaaa.... 🤣🤣🤣🤣
 
Tunapowaambia Simba Kuna kiwanda Cha kuzalisha wajinga Taifa hili msibishee!!, Hivi kwa mtu mwenye akili timamu na ambaye anajua mpira anaweza kuja na mawazo ya kitoto Kama yako?, Umewahi kucheza mpira?, Mechi ya kwanza dhidi ya Singida hakucheza? Mbona hukutoa tuhuma hizi?. Ndio maana kwenye nyuzi za wapuuzi wa mwaka 2023 nilikutaja.... Una ushambaaa....
Nitakuoa mwaka huu maana unanishobokea sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi makosa kama makosa mengine, kuna Ile ya kuwa na siku mbaya kazini. Ukishajua soka ni mchezo wa makosa huwezi kumlaumu Sana Kennedy. Hata game iliyopita na singida kuna beki wa Singida alipiga back pass bila huangalia nyuma ikaenda moja kwa moja kwa Bocco naye akashindwa kufunga.
Hayo huwa yanatokea nadhani hata yeye aliangalia replay atakuwa na la kujifunza na kutorudia next time. Bado Kennedy ni beki mzuri sana tena huwa anatuokoa katika nyakati ngumu mno.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom