soine
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 2,113
- 2,329
Serikali za dunia ndivyo zilivyo,hata Wamarekani anaowalamba miguu ndivyo walivyo.Who ever thinks otherwise is cheating himself. Huwezi kusaliti ukabaki salama.
Naipenda sana Tanzania nchi yangu, na napenda matumizi ya rasimali kwa maslahi mapana ya nchi yetu. CCM kindaki ndaki, shabiki mzuri wa mwenyekiti wangu.
ILA Nashindwa kujua usaliti wa LISSU ni upi? Uko ktk lipi? Kama ni msaliti kwa nini mnaficha huo usaliti wake?
Hivi Lissu wa leo, je ni tofauti na LISSU aliyeanzisha harakati za kudai haki na usawa ktk miktaba ya madini tangu late 2000s?
Hiyo professorial report ya madini/makinikia ilikuwa na kipi kipya na unique tofauti na report za akina Lissu?
Huu ubatizo wenye jina la "msaliti" hautimiliki hata kwa maji na moto. Tutafute lingine.