Alichofanya anakijua na ndo maana hatarudi Tanzania

ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
5,605
Likes
8,796
Points
280
ndege JOHN

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
5,605 8,796 280
Alichofanya alidhani kitabaki sirini.serikali Ni kubwa na Ina uwezo wa kupata taarifa nyingi.tusingekupiga bure unafki uliofanya umekupelekea kufanywa kile ulichofanywa.serikali hatuonei mtu Bali mtu anajigonga mwenyewe na kwa kuwa ulidhani hii awamu Ni Kama zile nyingine pole sana.nawasihi wananchi kwa ujumla zingatieni Sana sheria pendeni kuishi kwa uhalali.serikali zipo na zinatambulika na zinapaswa ziogopeke ili amani iwepo.hata historia tu inaonyesha harakati ambazo serikali nyingi imezipitia wakati mwingine baadhi ya watu hutolewa ili kuokoa wengi .yeye alifanya usaliti akatengeneza mtandao wa kujaribu kukwepesha ACCACIA wasionekane waizi.serikali tukachukia Sana kwanini mtu aliyesomeshwa na taifa lake badala atumie elimu yake ya sheria kutushauri tufanye kitu gani kwa maslahi ya taifa yeye akatugeuka anakwenda kuwa watetezi wao na kutuibia Siri ili akawape.shukrani kwa wazalendo mliosimama imara mkakataa rushwa ambazo baadhi ya maofisa walizikubali.baki hukohuko lakini tambua duniani maisha ya mtu hayana thamani mbele ya mustakabali wa serikali za watu.hata hao wazungu wameshauana Sana mpaka kufika Hapo walipo.eti Kuna watu wanajidanganya kuwa Rais hapati usingizi kwa hizi ziara.acheni kujidanganya anayeona aibu Ni yeye aliye huko nchi za magharibi na sio serikali.umewahi kusikia wapi serikali imetishwa na mtu mmoja.come on men!wake up!
 
busara kwanza

busara kwanza

Member
Joined
Jan 29, 2019
Messages
56
Likes
23
Points
15
busara kwanza

busara kwanza

Member
Joined Jan 29, 2019
56 23 15
Na ndiyo maana yeye Mh. Lissu anajua kabisa kinachombakibili akirejea Tanzania. Hata kama atajitoa akili, ila lazima sasa hivi mapigo ya moyo yanaenda mbio mbio.
Aliwazidi uwezo ndo maana mkaamua kumuua Lakin akapona kwa muujiza sasa mtamzidi wap tena na ameamua kama mbwai na iwe mbwai na nyie amueni moja watu went tupo Gagarin kwa chochote tumechoka
 
shululu

shululu

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Messages
27,634
Likes
108,927
Points
280
shululu

shululu

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2015
27,634 108,927 280
Nasikia hii ishu ilimuudhi sana Ngosha. Nasikia Lissu alikuwa anawapigia simu Accacia kuwa yeye atakuwa mtetezi bora wao sababu anajua vizuri historia ya Madini.

Alikuwa anawaomba accacia kuwa yeye ndio wamtanye wakili kwenye hii kesi na atamuangusha Ngosha sababu anajua wakati mikataba inasainiwa anajua Ngosha alikuwa upande gani. Mawasiliano yake yakadakwa. Ngosha alimaindi kichizi na ndo akaja na île ishu ya Uzalendo.

Kimsingi Tundu alikosea, Wamarekani linapokuja suala la maslahi ya nchi siku zote huwa kitu kimoja.

Hii ishu uliyoandika ndio uhalisia
Huu uongo uongo mnautoa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
W

wakumwaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2018
Messages
548
Likes
387
Points
80
W

wakumwaga

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2018
548 387 80
W

wakumwaga

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2018
Messages
548
Likes
387
Points
80
W

wakumwaga

JF-Expert Member
Joined Sep 7, 2018
548 387 80
USTAARABU KWENYE MABEBERU WALIOTUFIKISHA LEO HAPA KWA HALI YA UCHUMI TULIO NAYO?

YANI MSALITI M1 TU KWA NJAA ZAKE AISALITI SERIKALI YAKE KTK ACCASIA(MADINI) SABABU YA UCHUMIA TUMBO LAKE NA AACHWE HIVI HIVI KISA USTAARABU? HATA KIM RAISI WA KOREA YA KASKAZINI ALIWAHI KUMSHONA MJOMBA WAKE RISASI.

KUMBUKA SULEIMAN ALIKUWA NA HEKIMA SANA NDIYOMAANA MUNGU ALIMZIDISHIA BARAKA ZA MALI NYINGI SANA LAKINI HAIKUMZUIA KUAMURU MTOTO ALIYEKUWA AKIN'GANG'ANIWA NA WANAWAKE WAWILI AUWAWE KWA UPANGA.

JE SULEIMANI HAKUJUA KUUA KIUMBE CHAKE MUNGU(MTOTO) NI DHAMBI?

HEKIMA HUHITAJI MAAMUZI MAGUMU WAKATI MWINGINE.

Sent using Jamii Forums mobile app
Stupid hujui kusoma biblia nan alkuaambia mfalme aliua yule mtot? Yaan kama hujui KTU kaa kmya na sio kuandka ujinga...Mtot alkabidhiwa kwa aliyesadikika ndye mamaye akiwa mzma silly

Sent using Jamii Forums mobile app
 
shamimuodd

shamimuodd

Senior Member
Joined
Jan 28, 2019
Messages
128
Likes
93
Points
45
shamimuodd

shamimuodd

Senior Member
Joined Jan 28, 2019
128 93 45
Aliwazidi uwezo ndo maana mkaamua kumuua Lakin akapona kwa muujiza sasa mtamzidi wap tena na ameamua kama mbwai na iwe mbwai na nyie amueni moja watu went tupo Gagarin kwa chochote tumechoka
Mh. Lissu alipigwa risasi na makundi hasimu. Kupayuka kwake kulimfanya awe potential target ya kuuawa ili serikali isingiziwe. Anachotakiwa kujifunza ni kuwa na kiasi na busara unapogombana na watu maana huwezi kujua ni nani atatafuta kufaidika na kudhulika kwake. Na akiendeleza hizo habari zake nadhani wauaji hao inawezekana wanaona pia bado wanaweza kumuua tena ili isingiziwe serikali kwa sababu kwa kukosa busara kwake anaendelea kuishambulia serikali kama vile ndiyo walihusika. Swali dogo sana kwenu, kama wauaji walikuwa ni watu wa serikali, je ilikuaje dereva asipigwe hata risasi moja??? Hicho ni kitu ambacho hamtaki kukisikia, ila ukweli utabaki pale pale kuwa Mbow na wale M23 walihusika kwa kiasi kikubwa na dereva alijua mchongo wote na ndiyo maana alipoina ile gari ya wauaji yeye alipewa sigino kwa kupigwa risasi juu na yeye akashuka haraka na wauaji wakajua hayupo wakaendelea kumimina risasi. Kwa ufupi poleni sana kwa kuaminishwa uongo, muhusika ni akina mbow na aliyekuw mbunge wenu kathibitisha
 
MAGO

MAGO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Messages
879
Likes
1,033
Points
180
MAGO

MAGO

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2011
879 1,033 180
Nasikia hii ishu ilimuudhi sana Ngosha. Nasikia Lissu alikuwa anawapigia simu Accacia kuwa yeye atakuwa mtetezi bora wao sababu anajua vizuri historia ya Madini.

Alikuwa anawaomba accacia kuwa yeye ndio wamtanye wakili kwenye hii kesi na atamuangusha Ngosha sababu anajua wakati mikataba inasainiwa anajua Ngosha alikuwa upande gani. Mawasiliano yake yakadakwa. Ngosha alimaindi kichizi na ndo akaja na île ishu ya Uzalendo.

Kimsingi Tundu alikosea, Wamarekani linapokuja suala la maslahi ya nchi siku zote huwa kitu kimoja.

Hii ishu uliyoandika ndio uhalisia
mambo ya kusikia wenye akili hawayafanyii kazi.. nchibyenye utawala wa sheria kuua haikubaliki kama kuna ushahidi mahakama si zipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MAGO

MAGO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Messages
879
Likes
1,033
Points
180
MAGO

MAGO

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2011
879 1,033 180
Mh. Lissu alipigwa risasi na makundi hasimu. Kupayuka kwake kulimfanya awe potential target ya kuuawa ili serikali isingiziwe. Anachotakiwa kujifunza ni kuwa na kiasi na busara unapogombana na watu maana huwezi kujua ni nani atatafuta kufaidika na kudhulika kwake. Na akiendeleza hizo habari zake nadhani wauaji hao inawezekana wanaona pia bado wanaweza kumuua tena ili isingiziwe serikali kwa sababu kwa kukosa busara kwake anaendelea kuishambulia serikali kama vile ndiyo walihusika. Swali dogo sana kwenu, kama wauaji walikuwa ni watu wa serikali, je ilikuaje dereva asipigwe hata risasi moja??? Hicho ni kitu ambacho hamtaki kukisikia, ila ukweli utabaki pale pale kuwa Mbow na wale M23 walihusika kwa kiasi kikubwa na dereva alijua mchongo wote na ndiyo maana alipoina ile gari ya wauaji yeye alipewa sigino kwa kupigwa risasi juu na yeye akashuka haraka na wauaji wakajua hayupo wakaendelea kumimina risasi. Kwa ufupi poleni sana kwa kuaminishwa uongo, muhusika ni akina mbow na aliyekuw mbunge wenu kathibitisha
hayo makundi yana nguvu gani ya kuondoa ulinzi eneo executive kama lile... yana uwezo gani wa kuondoa cctv camera.. serikali inashindwa nn kulitambua kundi hilo walau hata mshukiwa mmoja.... Mtoto mdogo tu ndiye anaweza amini serikali haikuhusika.. ww ukiwa mmojawapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halaiser

Halaiser

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Messages
712
Likes
820
Points
180
Age
51
Halaiser

Halaiser

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2014
712 820 180
Alichofanya alidhani kitabaki sirini.serikali Ni kubwa na Ina uwezo wa kupata taarifa nyingi.tusingekupiga bure unafki uliofanya umekupelekea kufanywa kile ulichofanywa.serikali hatuonei mtu Bali mtu anajigonga mwenyewe na kwa kuwa ulidhani hii awamu Ni Kama zile nyingine pole sana.nawasihi wananchi kwa ujumla zingatieni Sana sheria pendeni kuishi kwa uhalali.serikali zipo na zinatambulika na zinapaswa ziogopeke ili amani iwepo.hata historia tu inaonyesha harakati ambazo serikali nyingi imezipitia wakati mwingine baadhi ya watu hutolewa ili kuokoa wengi .yeye alifanya usaliti akatengeneza mtandao wa kujaribu kukwepesha ACCACIA wasionekane waizi.serikali tukachukia Sana kwanini mtu aliyesomeshwa na taifa lake badala atumie elimu yake ya sheria kutushauri tufanye kitu gani kwa maslahi ya taifa yeye akatugeuka anakwenda kuwa watetezi wao na kutuibia Siri ili akawape.shukrani kwa wazalendo mliosimama imara mkakataa rushwa ambazo baadhi ya maofisa walizikubali.baki hukohuko lakini tambua duniani maisha ya mtu hayana thamani mbele ya mustakabali wa serikali za watu.hata hao wazungu wameshauana Sana mpaka kufika Hapo walipo.eti Kuna watu wanajidanganya kuwa Rais hapati usingizi kwa hizi ziara.acheni kujidanganya anayeona aibu Ni yeye aliye huko nchi za magharibi na sio serikali.umewahi kusikia wapi serikali imetishwa na mtu mmoja.come on men!wake up!
Hii inaitwa sizitaki mbichi hizi. Mnazidi kujiaibisha. Mlikuwa mmebakiza nguo za ndani sasa naona na zenyewe zimeshachakaa. Muda si mrefu mtabaki watupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uporo wa wali ndondo

uporo wa wali ndondo

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Messages
2,716
Likes
1,514
Points
280
uporo wa wali ndondo

uporo wa wali ndondo

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2013
2,716 1,514 280
Tundu lissu anajifanya 50 cent.
 
Mnondwe

Mnondwe

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Messages
3,272
Likes
2,366
Points
280
Mnondwe

Mnondwe

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2015
3,272 2,366 280
Eti " serikali tukachukia sana",kama serikalini kuna mtu kama wewe basi ni sufuri kabisa,kifungu cha maneno tu kinakutoa jasho,PAKA PUSSI CAT.
 
Mnondwe

Mnondwe

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Messages
3,272
Likes
2,366
Points
280
Mnondwe

Mnondwe

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2015
3,272 2,366 280
Na ndiyo maana yeye Mh. Lissu anajua kabisa kinachombakibili akirejea Tanzania. Hata kama atajitoa akili, ila lazima sasa hivi mapigo ya moyo yanaenda mbio mbio.
Ameshasema,madaktari wakimwambia yuko ok,ATAKUWA KWENYE NEXT PLANE KURUDI.
Usichoelewa ni maneno NEXT PLANE au?
 
Ngoda95

Ngoda95

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2011
Messages
2,268
Likes
3,941
Points
280
Ngoda95

Ngoda95

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2011
2,268 3,941 280
Hivi jamani mwili wa binadamu unaweza ukabeba risasi 16 kwa akili ya kawaida maana ninavyojua jua risasi ina sehemu kuu tatu ina kichwa ambacho kimechongoka pia ina umbo LA laki ambayo hubeba baruti halafu kasha LA nyuma ambayo risasi ikitoka huwa linabaki xaxa lile umbo LA kati huwa linabaruti ambayo asilimia kubwa ndio huleta madhara kwenye mwili xaxa hizo 16 inakuwaje jamanii naombeni mtu anifafanulie vizuri zaidi inakuwaje hapo 16

Sent using Jamii Forums mobile app
Jifunze kuandika vizuri na kwa usahihi.

"xaxa" badala ya sasa ni utoto wa huko Facebook.

Watoto wa Ndalichako mmefunga shule kwani?
 
R

rodrick alexander

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Messages
4,840
Likes
2,205
Points
280
R

rodrick alexander

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2012
4,840 2,205 280
Tangia alipomsaliti Dr. Slaa kwenye issue ya ufisadi niliacha kumwamini ni mtu anayefikiri anaweza kuwa rais kwa ujinga wa watanzania
 
GUSSIE

GUSSIE

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Messages
2,240
Likes
4,444
Points
280
GUSSIE

GUSSIE

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2014
2,240 4,444 280
Alichofanya alidhani kitabaki sirini.serikali Ni kubwa na Ina uwezo wa kupata taarifa nyingi.tusingekupiga bure unafki uliofanya umekupelekea kufanywa kile ulichofanywa.serikali hatuonei mtu Bali mtu anajigonga mwenyewe na kwa kuwa ulidhani hii awamu Ni Kama zile nyingine pole sana.nawasihi wananchi kwa ujumla zingatieni Sana sheria pendeni kuishi kwa uhalali.serikali zipo na zinatambulika na zinapaswa ziogopeke ili amani iwepo.hata historia tu inaonyesha harakati ambazo serikali nyingi imezipitia wakati mwingine baadhi ya watu hutolewa ili kuokoa wengi .yeye alifanya usaliti akatengeneza mtandao wa kujaribu kukwepesha ACCACIA wasionekane waizi.serikali tukachukia Sana kwanini mtu aliyesomeshwa na taifa lake badala atumie elimu yake ya sheria kutushauri tufanye kitu gani kwa maslahi ya taifa yeye akatugeuka anakwenda kuwa watetezi wao na kutuibia Siri ili akawape.shukrani kwa wazalendo mliosimama imara mkakataa rushwa ambazo baadhi ya maofisa walizikubali.baki hukohuko lakini tambua duniani maisha ya mtu hayana thamani mbele ya mustakabali wa serikali za watu.hata hao wazungu wameshauana Sana mpaka kufika Hapo walipo.eti Kuna watu wanajidanganya kuwa Rais hapati usingizi kwa hizi ziara.acheni kujidanganya anayeona aibu Ni yeye aliye huko nchi za magharibi na sio serikali.umewahi kusikia wapi serikali imetishwa na mtu mmoja.come on men!wake up!
Andika Kiswahili fasaha

Mbona unaandika kama mtoto wa chekechea

Zero Brain mkubwa
 
Mpembakizinga

Mpembakizinga

Member
Joined
Sep 23, 2018
Messages
61
Likes
75
Points
25
Mpembakizinga

Mpembakizinga

Member
Joined Sep 23, 2018
61 75 25
Naamin siku ya kurudi lissu atapata mapokezi makubwa labda arudi kimyakimya na serikali izue maandamano
 
Forum statistics

Threads 1,262,459
Members 485,588
Posts 30,122,935