Alichofanya anakijua na ndo maana hatarudi Tanzania

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,531
44,638
Alichofanya alidhani kitabaki sirini.serikali Ni kubwa na Ina uwezo wa kupata taarifa nyingi.tusingekupiga bure unafki uliofanya umekupelekea kufanywa kile ulichofanywa.serikali hatuonei mtu Bali mtu anajigonga mwenyewe na kwa kuwa ulidhani hii awamu Ni Kama zile nyingine pole sana.nawasihi wananchi kwa ujumla zingatieni Sana sheria pendeni kuishi kwa uhalali.serikali zipo na zinatambulika na zinapaswa ziogopeke ili amani iwepo.hata historia tu inaonyesha harakati ambazo serikali nyingi imezipitia wakati mwingine baadhi ya watu hutolewa ili kuokoa wengi .yeye alifanya usaliti akatengeneza mtandao wa kujaribu kukwepesha ACCACIA wasionekane waizi.serikali tukachukia Sana kwanini mtu aliyesomeshwa na taifa lake badala atumie elimu yake ya sheria kutushauri tufanye kitu gani kwa maslahi ya taifa yeye akatugeuka anakwenda kuwa watetezi wao na kutuibia Siri ili akawape.shukrani kwa wazalendo mliosimama imara mkakataa rushwa ambazo baadhi ya maofisa walizikubali.baki hukohuko lakini tambua duniani maisha ya mtu hayana thamani mbele ya mustakabali wa serikali za watu.hata hao wazungu wameshauana Sana mpaka kufika Hapo walipo.eti Kuna watu wanajidanganya kuwa Rais hapati usingizi kwa hizi ziara.acheni kujidanganya anayeona aibu Ni yeye aliye huko nchi za magharibi na sio serikali.umewahi kusikia wapi serikali imetishwa na mtu mmoja.come on men!wake up!
 
Serikali za dunia ndivyo zilivyo,hata Wamarekani anaowalamba miguu ndivyo walivyo.Who ever thinks otherwise is cheating himself. Huwezi kusaliti ukabaki salama.
 
Hivi jamani mwili wa binadamu unaweza ukabeba risasi 16 kwa akili ya kawaida maana ninavyojua jua risasi ina sehemu kuu tatu ina kichwa ambacho kimechongoka pia ina umbo LA laki ambayo hubeba baruti halafu kasha LA nyuma ambayo risasi ikitoka huwa linabaki xaxa lile umbo LA kati huwa linabaruti ambayo asilimia kubwa ndio huleta madhara kwenye mwili xaxa hizo 16 inakuwaje jamanii naombeni mtu anifafanulie vizuri zaidi inakuwaje hapo 16

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alichofanya alidhani kitabaki sirini.serikali Ni kubwa na Ina uwezo wa kupata taarifa nyingi.tusingekupiga bure unafki uliofanya umekupelekea kufanywa kile ulichofanywa.serikali hatuonei mtu Bali mtu anajigonga mwenyewe na kwa kuwa ulidhani hii awamu Ni Kama zile nyingine pole sana.nawasihi wananchi kwa ujumla zingatieni Sana sheria pendeni kuishi kwa uhalali.serikali zipo na zinatambulika na zinapaswa ziogopeke ili amani iwepo.hata historia tu inaonyesha harakati ambazo serikali nyingi imezipitia wakati mwingine baadhi ya watu hutolewa ili kuokoa wengi .yeye alifanya usaliti akatengeneza mtandao wa kujaribu kukwepesha ACCACIA wasionekane waizi.serikali tukachukia Sana kwanini mtu aliyesomeshwa na taifa lake badala atumie elimu yake ya sheria kutushauri tufanye kitu gani kwa maslahi ya taifa yeye akatugeuka anakwenda kuwa watetezi wao na kutuibia Siri ili akawape.shukrani kwa wazalendo mliosimama imara mkakataa rushwa ambazo baadhi ya maofisa walizikubali.baki hukohuko lakini tambua duniani maisha ya mtu hayana thamani mbele ya mustakabali wa serikali za watu.hata hao wazungu wameshauana Sana mpaka kufika Hapo walipo.eti Kuna watu wanajidanganya kuwa Rais hapati usingizi kwa hizi ziara.acheni kujidanganya anayeona aibu Ni yeye aliye huko nchi za magharibi na sio serikali.umewahi kusikia wapi serikali imetishwa na mtu mmoja.come on men!wake up!

Xeenzeeeeee mange kimambi alieko insta tu aliwajambisha mkatoa majeshi yote barabaran sembuse Lissu
Hebu achen kujifariji

huu ugoro umezidi magadi.
 
Kwa hiyo ndio maana mlitaka kumuua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yeye alifanya usaliti akatengeneza mtandao wa kujaribu kukwepesha ACCACIA wasionekane waizi.serikali tukachukia Sana kwanini mtu aliyesomeshwa na taifa lake badala atumie elimu yake ya sheria kutushauri tufanye kitu gani kwa maslahi ya taifa yeye akatugeuka anakwenda kuwa watetezi wao na kutuibia Siri ili akawape.shukrani kwa wazalendo mliosimama imara mkakataa rushwa ambazo baadhi ya maofisa walizikubali.

Awasaidie vichaa.......?
Mara ngapi amekuwa akishauri cha kufanya mkampuuza.........?
Hakuwaambia mjitoe kwa MIGA then ndo mfanye huo ujinga wenu wa makinikia na vishika uchumba.....
Mlifanya?
 
Hivi jamani mwili wa binadamu unaweza ukabeba risasi 16 kwa akili ya kawaida maana ninavyojua jua risasi ina sehemu kuu tatu ina kichwa ambacho kimechongoka pia ina umbo LA laki ambayo hubeba baruti halafu kasha LA nyuma ambayo risasi ikitoka huwa linabaki xaxa lile umbo LA kati huwa linabaruti ambayo asilimia kubwa ndio huleta madhara kwenye mwili xaxa hizo 16 inakuwaje jamanii naombeni mtu anifafanulie vizuri zaidi inakuwaje hapo 16

Sent using Jamii Forums mobile app
Kakae na wapumbavu wenzio mliohudhuria mafunzo ya miezi 2 magambo uwaulize maswali ya kipuuzi kama hayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alichofanya alidhani kitabaki sirini.serikali Ni kubwa na Ina uwezo wa kupata taarifa nyingi.tusingekupiga bure unafki uliofanya umekupelekea kufanywa kile ulichofanywa.serikali hatuonei mtu Bali mtu anajigonga mwenyewe na kwa kuwa ulidhani hii awamu Ni Kama zile nyingine pole sana.nawasihi wananchi kwa ujumla zingatieni Sana sheria pendeni kuishi kwa uhalali.serikali zipo na zinatambulika na zinapaswa ziogopeke ili amani iwepo.hata historia tu inaonyesha harakati ambazo serikali nyingi imezipitia wakati mwingine baadhi ya watu hutolewa ili kuokoa wengi .yeye alifanya usaliti akatengeneza mtandao wa kujaribu kukwepesha ACCACIA wasionekane waizi.serikali tukachukia Sana kwanini mtu aliyesomeshwa na taifa lake badala atumie elimu yake ya sheria kutushauri tufanye kitu gani kwa maslahi ya taifa yeye akatugeuka anakwenda kuwa watetezi wao na kutuibia Siri ili akawape.shukrani kwa wazalendo mliosimama imara mkakataa rushwa ambazo baadhi ya maofisa walizikubali.baki hukohuko lakini tambua duniani maisha ya mtu hayana thamani mbele ya mustakabali wa serikali za watu.hata hao wazungu wameshauana Sana mpaka kufika Hapo walipo.eti Kuna watu wanajidanganya kuwa Rais hapati usingizi kwa hizi ziara.acheni kujidanganya anayeona aibu Ni yeye aliye huko nchi za magharibi na sio serikali.umewahi kusikia wapi serikali imetishwa na mtu mmoja.come on men!wake up!
Utakuwa mjinga mpaka lini,mtu mzima unaandika pumba tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi jamani mwili wa binadamu unaweza ukabeba risasi 16 kwa akili ya kawaida maana ninavyojua jua risasi ina sehemu kuu tatu ina kichwa ambacho kimechongoka pia ina umbo LA laki ambayo hubeba baruti halafu kasha LA nyuma ambayo risasi ikitoka huwa linabaki xaxa lile umbo LA kati huwa linabaruti ambayo asilimia kubwa ndio huleta madhara kwenye mwili xaxa hizo 16 inakuwaje jamanii naombeni mtu anifafanulie vizuri zaidi inakuwaje hapo 16

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui hata kuandika xaxa ndio nini? Dogo hii sio facebook m*tako kweli wewe.
 
Back
Top Bottom