PostGE2025 Alichoandika Steven Mmbogo kuhusu Ukweli, Amani, Maridhiano na Mustakabali wa Taifa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
2,786
Reaction score
7,567
BARUA YA WAZI KWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

“Kwa ajili ya Ukweli, Amani, Maridhiano na Mustakabali wa Taifa”

Na: Steven Mmbogo - 24 Novemba 2025

Mheshimiwa Rais,

Ninakuandikia barua hii kwa unyenyekevu, kwa uwazi, na kwa heshima ya hadhi yako kama Mkuu wa Nchi, lakini pia kwa ujasiri unaotokana na wajibu wa kiraia—wajibu wa kusema ukweli kwa mamlaka (“speaking truth to power”).

Tanzania iko katika hatua ngumu, hatua inayohitaji uongozi wa hekima, sio nguvu; ujasiri wa kukiri, sio ukimya; na dhamira ya kuliponya taifa, sio kulilinda kisiasa.

1. Nchi ipo Kwenye mtanziko wa kihistoria

Uchaguzi wa 29 Oktoba 2025 haukuwa tukio la kisiasa pekee. Kwa mara ya kwanza katika historia ya hivi karibuni:
  • Raia walishuhudia vifo, majeruhi, na kukamatwa kwa mamia
  • Matumizi ya nguvu kupindukia yakirekodiwa na vyombo vya habari vya kimataifa
  • Ripoti za waangalizi huru zikitoa tathmini zinazoelekeza wazi kuwa mchakato haukuzingatia viwango vya uchaguzi huru na haki
  • Hofu, sintofahamu na kutokuaminiana katika taasisi za dola zikifikia kiwango cha juu
Tukio hili limeleta mabadiliko ya msingi katika roho ya taifa. Na ninakuandikia si kwa lawama, bali kwa ushauri wa dhati: Tanzania inasubiri uamuzi wako wa kipekee utakaoamua kama tunaingia katika maridhiano au mpasuko wa kudumu.

2. Hekima ya Uongozi ni Kukiri Ukweli, Si Kuuficha

Katika falsafa ya uongozi wa maadili (ethical leadership), kuna kauli maarufu:

“A nation cannot heal from wounds it refuses to acknowledge.”

Tanzania haiwezi kupona bila kukiri ukweli wa yaliyotokea.

Hakuna tume, hakuna kauli ya serikali, hakuna propaganda inayoweza kubadilisha ukweli unaofahamika kwa macho ya wananchi.

Hekima ya Nelson Mandela, Julius Nyerere na Kofi Annan inatufundisha kwamba ukweli ndio msingi wa amani ya kudumu.

3. Tume ya Uchunguzi Uliyoitangaza: Uamuzi wa Kijasiri, lakini unahitaji marekebisho

Kwa kutangaza kuundwa kwa Tume ya Uchunguzi, umeonesha ishara ya kutambua ukubwa wa sintofahamu.

Hata hivyo, hoja kuu za kitaifa ni hizi:

1. Je, Tume ya Rais inaweza kuwa huru bila ushirikisho mpana wa wadau?

2. Je, wahanga wataona kama imeundwa kwa lengo la kutafuta ukweli au kuhalalisha matokeo?

3. Je, uhalali wa kitaifa unaweza kujengwa na chombo kinachochukuliwa kuwa sehemu ya “mfumo” uliolalamikiwa?

Katika historia ya Afrika:
  • Kenya ilijisalimisha kwa Panel of Eminent Persons 2008
  • Afrika Kusini ilianzisha Truth and Reconciliation Commission yenye uhuru kamili
  • Sierra Leone ilifanya hybrid court na international oversight
Mfano huu unatufundisha jambo moja:

Tume huru, yenye mamlaka na inayokubalika na wananchi ndiyo njia pekee ya kurudisha imani ya kitaifa.

4. Mheshimiwa Rais, Tanzania inahitaji Ujasiri wa Pili—Ujasiri wa Kukubali Tume Huru ya Mchanganyiko (Hybrid Commission)

Tume ya mchanganyiko yenye:
  • Wataalamu wa ndani walio huru
  • Wataalamu wa kimataifa kutoka AU, SADC, Commonwealth
  • Viongozi wa dini
  • Wawakilishi wa wahanga
  • Wanasheria huru na wanazuoni

Hii ndiyo ingekuwa ishara ya uongozi wa juu kabisa, uongozi unaothamini maridhiano ya kweli kuliko ushindi wa kisiasa.

5. Swali linalotisha lakini lazima liulizwe:
"Je, Tunaunda Tume ya Amani au Tume ya Himaya?"

Tume isiyo huru itazaa:
  • Hofu
  • Chuki
  • Kupasuka kwa jamii
  • Kizazi kipya kinachoona taasisi za nchi kama adui
  • Maswali yasiyojibiwa
  • Historia iliyopindishwa
Tume huru itazaa:
  • Ukweli
  • Uwajibikaji
  • Maridhiano
  • Kizazi kinachoamini nchi yao
  • Demokrasia yenye uzima
  • Rejesho la hadhi ya serikali kitaifa na kimataifa

Kati ya hizi njia mbili, ni wazi ipi inafaa Tanzania.

6. Rai ya Kifalsafa: Maridhiano sio udhaifu—Ni nguvu ya Uongozi

Katika falsafa ya negotiation, mediation na reconciliation, viongozi wawili tu katika Afrika ya kisasa walifika upeo wa juu:
  • Nelson Mandela: alichagua ukweli badala ya kisasi
  • Desmond Tutu: alichagua msamaha badala ya uhasama

Wote waliamini katika kanuni hii:

“Without truth, there is no justice;Without justice, there is no reconciliation;Without reconciliation, there is no peace.”

Mheshimiwa Rais, leo kanuni hii inabisha hodi Ikulu ya Tanzania.

7. Mheshimiwa Rais, Hatma ya Taifa iko mikononi mwako

Wananchi wanataka majibu haya manne:

1. Ukweli — bila kujali unatisha kiasi gani.

2. Uwajibikaji : bila kulinda wahusika kutokana na vyeo.

3. Maridhiano: bila kulazimisha msamaha.

4. Amani: ambayo inatokana na haki, si ukimya.

Muda wa kukaa kimya umeisha.

Muda wa kuendelea na shughuli kama kawaida haujafika.

Muda wa kuogopa kuvunja mfumo kwa kusema ukweli hauna nafasi tena.

Leo ni wakati wa ujasiri wa kizazi.

8. Hitimisho: Wito wa Kipekee kwa Rais Samia

Mheshimiwa Rais
,

Kwa heshima lakini kwa uwazi, ninakuomba yafuatayo:

1. Tangaza rasmi Tume Huru ya Mchanganyiko (Hybrid National Inquiry Commission).

2. Fungua milango ya mediation ya kitaifa inayoongozwa na mediator huru.

3. Ruhusu wahanga, familia zao, na mashahidi kutoa taarifa bila hofu.

4. Leta mageuzi ya taasisi za dola na sheria za uchaguzi kwa uwazi.

5. Iweke Tanzania upande sahihi wa historia.

Historia haitakukumbuka kwa kushinda uchaguzi; itakukumbuka kwa jinsi ulivyolinda taifa baada ya uchaguzi.

Kwa nafasi uliyonayo, unaweza kuchagua kuwa:

Mjenzi wa maridhiano ya kizazi hiki au Mshiriki katika mlolongo wa migogoro ya siku zijazo.

Taifa linakusubiri.

Kwa heshima, uzalendo na dhamira,

Steven Mmbogo
 
Anayeshauriwa anadai hajawahi kuua mtu labda nzi. Mtaelewana kweli? 😳

1000213168.jpg
 
Cutewife najua wewe ni chawa na uko upande gani lakini nakupongeza kwa kuleta bandiko la huyu chawa mwenzio.

Ana substance kichwani lakini kwa washauri aina ya.kina Hafidh ameir na mwesiga hawawezi kushauri hayo mnayoyawaza.
 
5. Swali linalotisha lakini lazima liulizwe: "Je, Tunaunda Tume ya Amani au Tume ya Himaya?"

Zati woman is extremely egocentric—she doesn’t have an iota of political will to put the country’s interests ahead of hers!

Tumefika hapa tulipo sio kwa bahati mbaya bali ni solely because Chura kaamua willfully kuweka maslahi yake binafsi mbele ya maslahi ya taifa na hivyo kuwapuuza wote waliokuja kwake na ushauri unaoweka maslahi ya taifa mbele!
 
Huyu aliyeandika ni nani hapa Tanzania? Sijawai kumsikia
Niliona sehemu aliwahi kuwa Mweka Hazina wa CHADEMA Taifa, baadaye akawa Mkurugenzi wa Taasisi ya Tanzania Development Initiative Program (TADIP).... sijui kwa sasa anafanya nini.... kuna maandiko yake kadhaa hapa JF
 
Cutewife najua wewe ni chawa na uko upande gani lakini nakupongeza kwa kuleta bandiko la huyu chawa mwenzio.

Ana substance kichwani lakini kwa washauri aina ya.kina Hafidh ameir na mwesiga hawawezi kushauri hayo mnayoyawaza.
Huh!🤔 Ukiwa umetumwa si hata angalau uongeze akili kidogo Mkuu😂😂😂
 
BARUA YA WAZI KWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

“Kwa ajili ya Ukweli, Amani, Maridhiano na Mustakabali wa Taifa”

Na: Steven Mmbogo - 24 Novemba 2025

Mheshimiwa Rais,

Ninakuandikia barua hii kwa unyenyekevu, kwa uwazi, na kwa heshima ya hadhi yako kama Mkuu wa Nchi, lakini pia kwa ujasiri unaotokana na wajibu wa kiraia—wajibu wa kusema ukweli kwa mamlaka (“speaking truth to power”).

Tanzania iko katika hatua ngumu, hatua inayohitaji uongozi wa hekima, sio nguvu; ujasiri wa kukiri, sio ukimya; na dhamira ya kuliponya taifa, sio kulilinda kisiasa.

1. Nchi ipo Kwenye mtanziko wa kihistoria

Uchaguzi wa 29 Oktoba 2025 haukuwa tukio la kisiasa pekee. Kwa mara ya kwanza katika historia ya hivi karibuni:
  • Raia walishuhudia vifo, majeruhi, na kukamatwa kwa mamia
  • Matumizi ya nguvu kupindukia yakirekodiwa na vyombo vya habari vya kimataifa
  • Ripoti za waangalizi huru zikitoa tathmini zinazoelekeza wazi kuwa mchakato haukuzingatia viwango vya uchaguzi huru na haki
  • Hofu, sintofahamu na kutokuaminiana katika taasisi za dola zikifikia kiwango cha juu
Tukio hili limeleta mabadiliko ya msingi katika roho ya taifa. Na ninakuandikia si kwa lawama, bali kwa ushauri wa dhati: Tanzania inasubiri uamuzi wako wa kipekee utakaoamua kama tunaingia katika maridhiano au mpasuko wa kudumu.

2. Hekima ya Uongozi ni Kukiri Ukweli, Si Kuuficha

Katika falsafa ya uongozi wa maadili (ethical leadership), kuna kauli maarufu:

“A nation cannot heal from wounds it refuses to acknowledge.”

Tanzania haiwezi kupona bila kukiri ukweli wa yaliyotokea.

Hakuna tume, hakuna kauli ya serikali, hakuna propaganda inayoweza kubadilisha ukweli unaofahamika kwa macho ya wananchi.

Hekima ya Nelson Mandela, Julius Nyerere na Kofi Annan inatufundisha kwamba ukweli ndio msingi wa amani ya kudumu.

3. Tume ya Uchunguzi Uliyoitangaza: Uamuzi wa Kijasiri, lakini unahitaji marekebisho

Kwa kutangaza kuundwa kwa Tume ya Uchunguzi, umeonesha ishara ya kutambua ukubwa wa sintofahamu.

Hata hivyo, hoja kuu za kitaifa ni hizi:

1. Je, Tume ya Rais inaweza kuwa huru bila ushirikisho mpana wa wadau?

2. Je, wahanga wataona kama imeundwa kwa lengo la kutafuta ukweli au kuhalalisha matokeo?

3. Je, uhalali wa kitaifa unaweza kujengwa na chombo kinachochukuliwa kuwa sehemu ya “mfumo” uliolalamikiwa?

Katika historia ya Afrika:
  • Kenya ilijisalimisha kwa Panel of Eminent Persons 2008
  • Afrika Kusini ilianzisha Truth and Reconciliation Commission yenye uhuru kamili
  • Sierra Leone ilifanya hybrid court na international oversight
Mfano huu unatufundisha jambo moja:

Tume huru, yenye mamlaka na inayokubalika na wananchi ndiyo njia pekee ya kurudisha imani ya kitaifa.

4. Mheshimiwa Rais, Tanzania inahitaji Ujasiri wa Pili—Ujasiri wa Kukubali Tume Huru ya Mchanganyiko (Hybrid Commission)

Tume ya mchanganyiko yenye:
  • Wataalamu wa ndani walio huru
  • Wataalamu wa kimataifa kutoka AU, SADC, Commonwealth
  • Viongozi wa dini
  • Wawakilishi wa wahanga
  • Wanasheria huru na wanazuoni

Hii ndiyo ingekuwa ishara ya uongozi wa juu kabisa, uongozi unaothamini maridhiano ya kweli kuliko ushindi wa kisiasa.

5. Swali linalotisha lakini lazima liulizwe: "Je, Tunaunda Tume ya Amani au Tume ya Himaya?"

Tume isiyo huru itazaa:
  • Hofu
  • Chuki
  • Kupasuka kwa jamii
  • Kizazi kipya kinachoona taasisi za nchi kama adui
  • Maswali yasiyojibiwa
  • Historia iliyopindishwa
Tume huru itazaa:
  • Ukweli
  • Uwajibikaji
  • Maridhiano
  • Kizazi kinachoamini nchi yao
  • Demokrasia yenye uzima
  • Rejesho la hadhi ya serikali kitaifa na kimataifa

Kati ya hizi njia mbili, ni wazi ipi inafaa Tanzania.

6. Rai ya Kifalsafa: Maridhiano sio udhaifu—Ni nguvu ya Uongozi

Katika falsafa ya negotiation, mediation na reconciliation, viongozi wawili tu katika Afrika ya kisasa walifika upeo wa juu:
  • Nelson Mandela: alichagua ukweli badala ya kisasi
  • Desmond Tutu: alichagua msamaha badala ya uhasama

Wote waliamini katika kanuni hii:

“Without truth, there is no justice;Without justice, there is no reconciliation;Without reconciliation, there is no peace.”

Mheshimiwa Rais, leo kanuni hii inabisha hodi Ikulu ya Tanzania.

7. Mheshimiwa Rais, Hatma ya Taifa iko mikononi mwako

Wananchi wanataka majibu haya manne:

1. Ukweli — bila kujali unatisha kiasi gani.

2. Uwajibikaji : bila kulinda wahusika kutokana na vyeo.

3. Maridhiano: bila kulazimisha msamaha.

4. Amani: ambayo inatokana na haki, si ukimya.

Muda wa kukaa kimya umeisha.

Muda wa kuendelea na shughuli kama kawaida haujafika.

Muda wa kuogopa kuvunja mfumo kwa kusema ukweli hauna nafasi tena.

Leo ni wakati wa ujasiri wa kizazi.

8. Hitimisho: Wito wa Kipekee kwa Rais Samia

Mheshimiwa Rais
,

Kwa heshima lakini kwa uwazi, ninakuomba yafuatayo:

1. Tangaza rasmi Tume Huru ya Mchanganyiko (Hybrid National Inquiry Commission).

2. Fungua milango ya mediation ya kitaifa inayoongozwa na mediator huru.

3. Ruhusu wahanga, familia zao, na mashahidi kutoa taarifa bila hofu.

4. Leta mageuzi ya taasisi za dola na sheria za uchaguzi kwa uwazi.

5. Iweke Tanzania upande sahihi wa historia.

Historia haitakukumbuka kwa kushinda uchaguzi; itakukumbuka kwa jinsi ulivyolinda taifa baada ya uchaguzi.

Kwa nafasi uliyonayo, unaweza kuchagua kuwa:

Mjenzi wa maridhiano ya kizazi hiki au Mshiriki katika mlolongo wa migogoro ya siku zijazo.

Taifa linakusubiri.

Kwa heshima, uzalendo na dhamira,

Steven Mmbogo
Ikimpendeza Mhesimiwa iwapo yeye ndiye atakayo unda tena aina moja wapo ya tume ulizopendekeza japo uingie kama mjumbe huru wa tume na hii na kupa tu faida kwa kuamini kuwa ni mshauri huru ambaye huna maslahi fiche kwa kuutoa huu ushauri unaoonekana ni utakao leta manufaa kwa taifa letu.
 
Ushauri mzuri sana, tatizo kina Msigwa wanasema video ni AI na ndio wanaomzunguka kumpamba ujinga
Najua shida inayowakuta hawajui mawazo ya boss,hivyo boss wa hawa watumishi wa umma simama vyema uliokoe taifa hili wanaokusemea ama kwa hofu ama kwa kutaka kusikia kauli yako yenye uelekeo wa kiuongozi na mamlaka ndio utawawezesha kusema sahihi na kutenda sahihi kwa maslahi ya taifa.
 
BARUA YA WAZI KWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

“Kwa ajili ya Ukweli, Amani, Maridhiano na Mustakabali wa Taifa”

Na: Steven Mmbogo - 24 Novemba 2025

Mheshimiwa Rais,

Ninakuandikia barua hii kwa unyenyekevu, kwa uwazi, na kwa heshima ya hadhi yako kama Mkuu wa Nchi, lakini pia kwa ujasiri unaotokana na wajibu wa kiraia—wajibu wa kusema ukweli kwa mamlaka (“speaking truth to power”).

Tanzania iko katika hatua ngumu, hatua inayohitaji uongozi wa hekima, sio nguvu; ujasiri wa kukiri, sio ukimya; na dhamira ya kuliponya taifa, sio kulilinda kisiasa.

1. Nchi ipo Kwenye mtanziko wa kihistoria

Uchaguzi wa 29 Oktoba 2025 haukuwa tukio la kisiasa pekee. Kwa mara ya kwanza katika historia ya hivi karibuni:
  • Raia walishuhudia vifo, majeruhi, na kukamatwa kwa mamia
  • Matumizi ya nguvu kupindukia yakirekodiwa na vyombo vya habari vya kimataifa
  • Ripoti za waangalizi huru zikitoa tathmini zinazoelekeza wazi kuwa mchakato haukuzingatia viwango vya uchaguzi huru na haki
  • Hofu, sintofahamu na kutokuaminiana katika taasisi za dola zikifikia kiwango cha juu
Tukio hili limeleta mabadiliko ya msingi katika roho ya taifa. Na ninakuandikia si kwa lawama, bali kwa ushauri wa dhati: Tanzania inasubiri uamuzi wako wa kipekee utakaoamua kama tunaingia katika maridhiano au mpasuko wa kudumu.

2. Hekima ya Uongozi ni Kukiri Ukweli, Si Kuuficha

Katika falsafa ya uongozi wa maadili (ethical leadership), kuna kauli maarufu:

“A nation cannot heal from wounds it refuses to acknowledge.”

Tanzania haiwezi kupona bila kukiri ukweli wa yaliyotokea.

Hakuna tume, hakuna kauli ya serikali, hakuna propaganda inayoweza kubadilisha ukweli unaofahamika kwa macho ya wananchi.

Hekima ya Nelson Mandela, Julius Nyerere na Kofi Annan inatufundisha kwamba ukweli ndio msingi wa amani ya kudumu.

3. Tume ya Uchunguzi Uliyoitangaza: Uamuzi wa Kijasiri, lakini unahitaji marekebisho

Kwa kutangaza kuundwa kwa Tume ya Uchunguzi, umeonesha ishara ya kutambua ukubwa wa sintofahamu.

Hata hivyo, hoja kuu za kitaifa ni hizi:

1. Je, Tume ya Rais inaweza kuwa huru bila ushirikisho mpana wa wadau?

2. Je, wahanga wataona kama imeundwa kwa lengo la kutafuta ukweli au kuhalalisha matokeo?

3. Je, uhalali wa kitaifa unaweza kujengwa na chombo kinachochukuliwa kuwa sehemu ya “mfumo” uliolalamikiwa?

Katika historia ya Afrika:
  • Kenya ilijisalimisha kwa Panel of Eminent Persons 2008
  • Afrika Kusini ilianzisha Truth and Reconciliation Commission yenye uhuru kamili
  • Sierra Leone ilifanya hybrid court na international oversight
Mfano huu unatufundisha jambo moja:

Tume huru, yenye mamlaka na inayokubalika na wananchi ndiyo njia pekee ya kurudisha imani ya kitaifa.

4. Mheshimiwa Rais, Tanzania inahitaji Ujasiri wa Pili—Ujasiri wa Kukubali Tume Huru ya Mchanganyiko (Hybrid Commission)

Tume ya mchanganyiko yenye:
  • Wataalamu wa ndani walio huru
  • Wataalamu wa kimataifa kutoka AU, SADC, Commonwealth
  • Viongozi wa dini
  • Wawakilishi wa wahanga
  • Wanasheria huru na wanazuoni

Hii ndiyo ingekuwa ishara ya uongozi wa juu kabisa, uongozi unaothamini maridhiano ya kweli kuliko ushindi wa kisiasa.

5. Swali linalotisha lakini lazima liulizwe: "Je, Tunaunda Tume ya Amani au Tume ya Himaya?"

Tume isiyo huru itazaa:
  • Hofu
  • Chuki
  • Kupasuka kwa jamii
  • Kizazi kipya kinachoona taasisi za nchi kama adui
  • Maswali yasiyojibiwa
  • Historia iliyopindishwa
Tume huru itazaa:
  • Ukweli
  • Uwajibikaji
  • Maridhiano
  • Kizazi kinachoamini nchi yao
  • Demokrasia yenye uzima
  • Rejesho la hadhi ya serikali kitaifa na kimataifa

Kati ya hizi njia mbili, ni wazi ipi inafaa Tanzania.

6. Rai ya Kifalsafa: Maridhiano sio udhaifu—Ni nguvu ya Uongozi

Katika falsafa ya negotiation, mediation na reconciliation, viongozi wawili tu katika Afrika ya kisasa walifika upeo wa juu:
  • Nelson Mandela: alichagua ukweli badala ya kisasi
  • Desmond Tutu: alichagua msamaha badala ya uhasama

Wote waliamini katika kanuni hii:

“Without truth, there is no justice;Without justice, there is no reconciliation;Without reconciliation, there is no peace.”

Mheshimiwa Rais, leo kanuni hii inabisha hodi Ikulu ya Tanzania.

7. Mheshimiwa Rais, Hatma ya Taifa iko mikononi mwako

Wananchi wanataka majibu haya manne:

1. Ukweli — bila kujali unatisha kiasi gani.

2. Uwajibikaji : bila kulinda wahusika kutokana na vyeo.

3. Maridhiano: bila kulazimisha msamaha.

4. Amani: ambayo inatokana na haki, si ukimya.

Muda wa kukaa kimya umeisha.

Muda wa kuendelea na shughuli kama kawaida haujafika.

Muda wa kuogopa kuvunja mfumo kwa kusema ukweli hauna nafasi tena.

Leo ni wakati wa ujasiri wa kizazi.

8. Hitimisho: Wito wa Kipekee kwa Rais Samia

Mheshimiwa Rais
,

Kwa heshima lakini kwa uwazi, ninakuomba yafuatayo:

1. Tangaza rasmi Tume Huru ya Mchanganyiko (Hybrid National Inquiry Commission).

2. Fungua milango ya mediation ya kitaifa inayoongozwa na mediator huru.

3. Ruhusu wahanga, familia zao, na mashahidi kutoa taarifa bila hofu.

4. Leta mageuzi ya taasisi za dola na sheria za uchaguzi kwa uwazi.

5. Iweke Tanzania upande sahihi wa historia.

Historia haitakukumbuka kwa kushinda uchaguzi; itakukumbuka kwa jinsi ulivyolinda taifa baada ya uchaguzi.

Kwa nafasi uliyonayo, unaweza kuchagua kuwa:

Mjenzi wa maridhiano ya kizazi hiki au Mshiriki katika mlolongo wa migogoro ya siku zijazo.

Taifa linakusubiri.

Kwa heshima, uzalendo na dhamira,

Steven Mmbogo
Hana uheshimiwa wowote, siyo rais wa halali na ni muuaji anayetakiwa wafikishwe kwenye vyombo vya sheria!
 
Huh!🤔 Ukiwa umetumwa si hata angalau uongeze akili kidogo Mkuu😂😂😂
Hivi hawa watu ni kwamba hawana akili kabisa au zile hela ukila zinapumbaza. Baada ya kujadili hoja anajadili mtu
 
Niliona sehemu aliwahi kuwa Mweka Hazina wa CHADEMA Taifa, baadaye akawa Mkurugenzi wa Taasisi ya Tanzania Development Initiative Program (TADIP).... sijui kwa sasa anafanya nini.... kuna maandiko yake kadhaa hapa JF
Ok, yupo vizuri
 
Good advice but not agreeable to Samia because it means she will have to commit suicide! Do you think she and her gang are ready?
 
Back
Top Bottom