Midozenj01
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 422
- 422
Mimi ilinitokea like 3 weeks ago. China wana lock down. Kwa hiyo viwanda vyingi vilikuwa vimefungwa. Baada ya siku 7. Ile kampuni ilishindwa kutuma mzigo.. kwa hiyo wakasema pesa itarudishwa ndani ya siku 3 hadi 20Wakuu Assalam Alaykum hope wazima kwa ujumla..
Naomba niende kwenye mada direct..
Mimi ni beginner wa kununua bidhaa online sasa tarehe 28 mwezi wa 3 nilifanya transaction Alibaba kutoka CRDB kiasi cha $306 na $34 kwa tofauti ya week 1 hivi kulipia vifaa vyangu flani hivi sasa jamaa hawakuwa na stock nilisubiri mpaka mwezi wa 5 lakini wapi sasa mwanzoni mwezi huu nikaona ni open dispute ili wani refund, nikafanya hivyo na dispute ikawa processed uzuri supplier akakubali malalamiko yangu na tarehe 5 mwezi huu pesa ikarudishwa kwenye account yangu... kimbembe hiyo pesa kuonekana.. Wao Alibaba wamenipa ARN number inayo trace pesa yangu na.wamenishauri incase nisipoiona niende bank, Bank (CRDB) nimeenda ila hawajui namna ya kuitrace, so nipo njia panda sijui pesa yangu nitairudisha vipi.. so kwa yeyote atakaye weza nisaidia nitashukuru sana maana naelekea kukata tamaa kwa kweli
Hapo chini naambatanisha hizo.ARN number incase for reference..
Ahsanteni sana
Picha zimegoma kuwa uploaded.. ila kwa msaada nipo tayari kuzituma kwa yeyote na namna yeyote ile
Nadhani bado process ya ku refund haijakamilika.. normally wanasema ndani ya siku 3 hadi 20
Ok let me wait more ila nipo hopeless kabisa yaniNadhani bado process ya ku refund haijakamilika.. normally wanasema ndani ya siku 3 hadi 20
Zikipita siku 20 kabla pesa haija rudi ndio unaweza kulalamika
Mtandao gani huo mkuu unatumia? nilijaribu airtel ikakubali mara 1 tu there after ikawa inazingua kiainaMimi ilinitokea like 3 weeks ago. China wana lock down. Kwa hiyo viwanda vyingi vilikuwa vimefungwa. Baada ya siku 7. Ile kampuni ilishindwa kutuma mzigo.. kwa hiyo wakasema pesa itarudishwa ndani ya siku 3 hadi 20
Uzuri wangu nilikuwa nimetumia hizi master card za Mobile Money.. Kweli siku moja nikapokea Msg kuwa pesa imerudishwa. Ila yale makato ya transfer yakawa wamekatwa
"
Umepokea Tshxxxx kutoka kwa Wakala: MASTERCARD VCN . Salio Tshxxxx Muamala No: CI220416.2cxxx"
Nilichojifunza.. kama huna haraka na mzigo ni bora uxtend zile ziku . Kama siku 7 zinakaribia kuisha kabla ya mzigo kutumwa.. ni bora uongeze muda zaidi
China sasa hvi wanachangamoto ya lockdown...
Hii ipoje mkuu? na miamala yake ina usalama kiasi gani?Ndiyo muwe mnatumia visa prepaid card mkiambiwa hamtaki kuelewa
Nilinunua mzigo mwaka jana mwez wa pili nimeupataaa janaa .Mimi ilinitokea like 3 weeks ago. China wana lock down. Kwa hiyo viwanda vyingi vilikuwa vimefungwa. Baada ya siku 7. Ile kampuni ilishindwa kutuma mzigo.. kwa hiyo wakasema pesa itarudishwa ndani ya siku 3 hadi 20
Uzuri wangu nilikuwa nimetumia hizi master card za Mobile Money.. Kweli siku moja nikapokea Msg kuwa pesa imerudishwa. Ila yale makato ya transfer yakawa wamekatwa
"
Umepokea Tshxxxx kutoka kwa Wakala: MASTERCARD VCN . Salio Tshxxxx Muamala No: CI220416.2cxxx"
Nilichojifunza.. kama huna haraka na mzigo ni bora uxtend zile ziku . Kama siku 7 zinakaribia kuisha kabla ya mzigo kutumwa.. ni bora uongeze muda zaidi
China sasa hvi wanachangamoto ya lockdown...
Great.. nitajaribu hii seems to be valuableMimi nilitumiaga voda mastercard kufanya malipo na mzigo ulichelewa kufika,nikaomba Refund nikarudishiwa bila shida
[emoji15][emoji15] Amaizing sana mkuu... mtandao (online market) gani ulitumia? na kampuni gani ya usafirishaji ilihusika?Nilinunua mzigo mwaka jana mwez wa pili nimeupataaa janaa .
Aliexpress[emoji15][emoji15] Amaizing sana mkuu... mtandao (online market) gani ulitumia? na kampuni gani ya usafirishaji ilihusika?
Lets wait.. nafikiri bado siku 4 hivi..Je 10 working days zimepita???
kwa aliexpress inawezekana.. hususani ukitumia cargo carriers wadogoAliexpress
Natumia AirtelMtandao gani huo mkuu unatumia? nilijaribu airtel ikakubali mara 1 tu there after ikawa inazingua kiaina