Unajua bob hapo ujaelewa kitu hao jamaa wanauza jumla sio reja reja ivyo ukitaka bidhaa 1 wao wanachukulia kama unahitaji sample iyo ni gharama ya nauli ambao wanaweka mzigo ukufikie haraka kisha uagize mkubwa hapo fanya ivi mtafute seller mpange kwamba mm natumia usafiri wangu akikubali mtafute anayeweza kukusafirishia ule mzigo kama yupo china mpe seller address kisha yule seller atamfikishia pasipo gharama kubwa ndio huyo agent atakuletea ww sidhan kama itavuka week tatu.