We don care too....
Umetumia jina la Ali Kiba kutuvutia tuje kumbe ndio walewale...sasa unacholalamika ni nini ilhali thread yako imejaa chuki za waziwazi???bye....sirudi tena kujadili huu ujinga wako
Acha kulia lia mwanaume jipange malalamiko huwa hayafikishi mahali take actions
Ujie watu wengi ilibidi waegemee kwa diamond sababu hawakuwa na alternative (since kiba was silent).
Pia washabiki wengi wa diamond ni coz yuko name Wema so team Wema wanamsapoti km Shem.
Kwa hayo hapo juu sidhani kwamba watamgeuka Sana Sana wa kugeukwa ni diamond coz siku akimzingua Wema na washabiki amekosa. We huoni Siku akizinguana na Wema page yake inajaa matusi?? Akiwa peace ni full shangwe??
Kiba anapendwa sema to kupotea kwake Neil kulifanya shabiki wawe hawana mbadala isipokuwa kwa daimond so kukimbiwa sidhani
Cc Matola
Dangote yuko juu iwe unataka au hutaki!!
Chai Jabaaaaaa!!!
Mna roho mbaya sana nyie binadamu
.
Kinachofanya mumchukie Diamond ni maendeleo yake.
Hivi kama mnaonesha wivu kias hiki kwa Diamond mnayemuonea kwenye magazet inakuaje huko na ndugu zenu waliofanikiwa?Nyie ndio wale ndugu mnaoweza hata kuloga watoto wa ndugu zenu wasiolewe au wafukuzwe kaz wasizae.
Wanaosema mnamchukia Diamond bila sababu wanakosea.
Mm najua kinachofanya mumchukie,MAENDELEO YAKE.
period
Hii idea kuna sehemu nimeiona ni copy and paste au?