Wale wanaoishi maisha wanayoishi sio kama wafake, ni maisha yao. Sasa mtu kama ana pesa akiwa na manodyguard anafake maisha? Yeye kama hawezi ishi hayo maisha atulie tu na si kisema wengine wanafakekwani amesema nini kibaya hapo mkuu, ni bora tukubaliane kutokukubaliana. Unataka kila mtu awe humble mbele ya camera eti kwa kuwa yeye ni star, aah haiwezekani
Aishi hivyo anavyoishi sasa. Kwasababu uwezo wa kuwa na mabodyguard hana.Kwani wewe unataka aishi vipi?
Tatizo lako unakurupuka kama ww ni ME embu sikilize vizur utaelewa kiini cha yote alioongea kama ww ni KE sinachakukushaurI'd rather die than faking life.
I would rather die respected than fake lifestyle for popularity - Ali Kiba
Celebrated Bongo Star Ali Kiba has said he would rather die with his respect than leaving behind a bad image.The artist says that he prefers being real to faking lifestyle for popularity tha...hivisasa.com
Anasema yeye hawezi ku fake life. Bora afe akiwa real kuliko ku fake maisha. Hivi najiuluza huyu jamaa mbona anaongea vitu ambavyo havina msingi. Hajui kuwa hata hao wanaoishi maisha ya juu kuliko yeye pia ni maisha yao sio wana fake. Link hiyo hapo someni wenyewe wadau