Hakim-5 hutakiwi kulia lia mtoto wa kiumeMsanii Hakeem 5 ambaye alitambulika katika muziki baada ya kufanya Collabo na msani Ali Kiba kwenye wimbo wa ‘Nakshi Mrembo’ amefunguka na kusema kuwa msanii Ali Kiba si mtu mzuri na wala hana muda nae kwa sasa.
Akipiga stori kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio ambapo leo alipewa heshima ya Bongo fleva, Hakeem 5 anadai kuwa msanii huyo kwa sasa amekuwa akijisikia sana kitu ambacho yeye kimemkera na kudai kuona kwamba msanii huyo ana roho mbaya, roho ya kukunja.
” Unajua kuna wasanii wana roho mbaya sana wanadhani kwamba ridhiki wao ndiyo wanatoa kumbe Mungu ndiye mtoaji wa ridhiki, kiukweli kabisa Ali Kiba kwa sasa sitaki hata kumsikia sababu huyu jamaa nampigia simu simu zangu hata hapokei, ujumbe wangu hajibu na kuna siku nilikutana nae studio na kumwambia naomba tufanye kazi pamoja lakini yeye aliniambia unajua, Hakeem 5 kazi tutafanya ila subiri kwanza na mambo kama hayo ndiyo maana saizi sitaka hata kumsikia” alisema Hakeem 5.
Katika hatua nyingine msanii huyo amezidi kusikistiza kuwa anataka kufanya kazi na msanii huyo na kusema kuwa yeye hataki pesa za Ali Kiba ila anachotaka kwa sasa ni kufanya nae kazi tu, kwani yeye Hakeem 5 anasema ameshamalizana na Ali Kiba kwenye wimbo wa Nakshi Mrembo ila Ali Kiba yeye bado hajamalizana na msanii huyo.
Unajua mimi nimefanya mambo makubwa na Ali Kiba na wala hakunilipa na mimi sitaki pesa zake nilimwambia sitaki pesa yako mimi nataka tufanye kazi, yeye anasema kila jambo linawakati wake, mimi nilishamalizana na yeye ila yeye hajamalizana na mimi” alidai Hakeem 5.
Acha mzaha ndugu yangu. Kiba hana menejimenti ni shombo tupo. Jamaa ananata kama demu flani hivi kwa vijitabia vya hovyo.Kwani aliingia nae katika mkataba ???.... Au ndo return the favour ???....
Ameshawasiliana na management yake au anafanya mambo kiholela ???.....
Je , alikuwa ana maana gani kumtolea mbovu kijana mwenzie huku akishinikiza kolabo on TV !!!!!...
Naweza nikakubali kuwa kiba ana shauzi kutokana na interview zake za hivi karibuni lakini huyu jamaa hakuwa na haki yoyote kwa aliyoyasema
Kiba is busy kajaribu kwa diamond pllllllllz!!!!!...Msanii Hakeem 5 ambaye alitambulika katika muziki baada ya kufanya Collabo na msani Ali Kiba kwenye wimbo wa ‘Nakshi Mrembo’ amefunguka na kusema kuwa msanii Ali Kiba si mtu mzuri na wala hana muda nae kwa sasa.
Akipiga stori kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio ambapo leo alipewa heshima ya Bongo fleva, Hakeem 5 anadai kuwa msanii huyo kwa sasa amekuwa akijisikia sana kitu ambacho yeye kimemkera na kudai kuona kwamba msanii huyo ana roho mbaya, roho ya kukunja.
” Unajua kuna wasanii wana roho mbaya sana wanadhani kwamba ridhiki wao ndiyo wanatoa kumbe Mungu ndiye mtoaji wa ridhiki, kiukweli kabisa Ali Kiba kwa sasa sitaki hata kumsikia sababu huyu jamaa nampigia simu simu zangu hata hapokei, ujumbe wangu hajibu na kuna siku nilikutana nae studio na kumwambia naomba tufanye kazi pamoja lakini yeye aliniambia unajua, Hakeem 5 kazi tutafanya ila subiri kwanza na mambo kama hayo ndiyo maana saizi sitaka hata kumsikia” alisema Hakeem 5.
Katika hatua nyingine msanii huyo amezidi kusikistiza kuwa anataka kufanya kazi na msanii huyo na kusema kuwa yeye hataki pesa za Ali Kiba ila anachotaka kwa sasa ni kufanya nae kazi tu, kwani yeye Hakeem 5 anasema ameshamalizana na Ali Kiba kwenye wimbo wa Nakshi Mrembo ila Ali Kiba yeye bado hajamalizana na msanii huyo.
Unajua mimi nimefanya mambo makubwa na Ali Kiba na wala hakunilipa na mimi sitaki pesa zake nilimwambia sitaki pesa yako mimi nataka tufanye kazi, yeye anasema kila jambo linawakati wake, mimi nilishamalizana na yeye ila yeye hajamalizana na mimi” alidai Hakeem 5.
Zamanii hatar naona kama rajab lutengwe... Anamlilia bw mkubwa amrudishe njianhakim 5 ,, dah kitambo sana
Hahahahaaaaaa kweli aysee... Asa mtu hutaki kumskia afu unataka mfanye kazi duuuh!!!Hizi mboyoyo nazo..Sasa hautaki hata kumsikia hiyo kazi itafanyika vipi..Btw kama una uwezo huwezi kulialia hivi..Hakeem5 jipe shughuli..
Muogope Mungu Mzee... Fuatilia interview yake pale E-FMSijashangaa sana kiba anajulikana ashakir hatoweza kufanya kaz na diamond but diamond kalubal kufanyakazi nakiba ksma itakua na maslai
tokea alikiba ahojiwe akajibu eti kiti chake ni kama kilikuwa na vumbi tu kwa hiyo anarudi kufuta vumbi ,ewewewewewew sahau leo yapo wapi?unaondoka kwenye game miaka mitatu halafu eti unasema kiti kina vumbi tu?sasa huo muda alifikiri wasanii wengine wamekaa tuuu,
Kiba size nyingine Mzee itakupwaya..mwache aringe si anaweza bwana...Acha mzaha ndugu yangu. Kiba hana menejimenti ni shombo tupo. Jamaa ananata kama demu flani hivi kwa vijitabia vya hovyo.
Sababu ya babu kuchuja ilikuwa ni minato pale alipotoka kubebwa na R Kelly. Aliona wataalamu wote ni mafala kama AY, na wengine. Watu wakampotezea hadi muda huu uzeeni ndo ameamka tena wakati usingizi haujaisha vizuri