Ali Kiba mvumo wa radi kupitwa views na iyena ya Diamond.. ni aibu kwa management

Iyena Imebebwa Na Kik ya Zari, Alafu kumbuka wimbo wa kiba Views zilisimama kwa saa 24 namb haziongezeki zimeganda vilele then zikaja zikapungua.
 
Mbona mnamkumbusha king ki machungu anajitahidi kusahau
 
Iyena Imebebwa Na Kik ya Zari, Alafu kumbuka wimbo wa kiba Views zilisimama kwa saa 24 namb haziongezeki zimeganda vilele then zikaja zikapungua.
Kweli kabisa, Salaam atakuwa anahusika hapo. Si bure
 
Kukubali kushindwa kwenye masuala ya kibiashara ni udhaifu mkubwa sana hata Mungu hapendi.
 
Kukubali kushindwa kwenye masuala ya kibiashara ni udhaifu mkubwa sana hata Mungu hapendi.
Umesoma vizuri na kuelewa maana yangu!? Nimesema unapokubali unarudi kujipanga upya kwa mbinu bora zaidi, hata vitani jeshi kurudi nyuma haina maana ya kushindwa bali kujipanga upya kwa style aina za silaha na jinsi ya kushambulia
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…