Ali Kiba mvumo wa radi kupitwa views na iyena ya Diamond.. ni aibu kwa management

Iyena Imebebwa Na Kik ya Zari, Alafu kumbuka wimbo wa kiba Views zilisimama kwa saa 24 namb haziongezeki zimeganda vilele then zikaja zikapungua.
 
Mbona mnamkumbusha king ki machungu anajitahidi kusahau
 
Iyena Imebebwa Na Kik ya Zari, Alafu kumbuka wimbo wa kiba Views zilisimama kwa saa 24 namb haziongezeki zimeganda vilele then zikaja zikapungua.
Kweli kabisa, Salaam atakuwa anahusika hapo. Si bure
 
Team kiba hawawezi kufanikiwa mpaka wakubali kwanza kuwa WCB ni wakali zaidi yao!! Kukubali kushindwa ndo njia pekee ya kujipanga upya kimkakati na kuibuka upya kumkabili adui yako!
Kenya wamekubali kuwa music industry ya Bongo iko juu zaidi yao na wanajipanga upya
Yanga walikubali mapemaa msimu ulopita kuwa wapinzani wao simba wako vizuri kuliko wao
Liverpool walikubali kuwa Real Madrid ni mziki mwingine
Bro wangu kiba kubali tu Domo yuko vizuri kwa kila kitu kukuzidi wewe ili ujipange upya
Kukubali kushindwa kwenye masuala ya kibiashara ni udhaifu mkubwa sana hata Mungu hapendi.
 
Kukubali kushindwa kwenye masuala ya kibiashara ni udhaifu mkubwa sana hata Mungu hapendi.
Umesoma vizuri na kuelewa maana yangu!? Nimesema unapokubali unarudi kujipanga upya kwa mbinu bora zaidi, hata vitani jeshi kurudi nyuma haina maana ya kushindwa bali kujipanga upya kwa style aina za silaha na jinsi ya kushambulia
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom