tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,894
- 19,775
Huyo afanye muziki mashindano nani kamuuliza...hiyo tuzo ya huyo dogo imemfanya avimbiwe mpka akiliALIKIBA - SITAKI MTU ANIINGILIE KATIKA MIPANGO YANGU, MIMI SISHINDANI NA MTU . . Mwanamuziki mahiri nchini Tanzania, Alikiba amefunguka na kusema kuwa yeye katika muziki wake hakuna mtu anayeshindana naye na kudai ila kama kuna watu wanataka kushindana na yeye basi atawaacha na kuendelea na mambo yake. . . Alikiba anasema katika maisha yake ya muziki hataki kuona mtu yoyote anamtoa katika njia yake, ndiyo maana watu ambao wanakuwa wakiongea ongea sana juu yake yeye na muziki wake hawapi nafasi, kwani anaamini akiwapa nafasi wanaweza kumtoa kwenye mambo ambayo yeye amekusudia kuyafanya hasa zaidi katika muziki wake. "Unajua kila binadamu ana tabia yake, kuna wengine wanajua kabisa kwamba wanakosea lakini wanafanya hivyo kwa sababu na wapo wengine wanakuwa wanaongea pasipokujua kama wanakosea, hivyo mimi kama msanii sitakiwi kusikiliza hivyo vitu sababu nakuwa na mipango na malengo yangu, hivyo sitaki mtu yoyote aniingilie kwenye mipango yangu kwa hiyo ukiwafuata unaweza kujiangusha" alisema. Mbali na hilo Alikiba amesema yeye haangalii ushindani na wala hashindani na mtu . . . "Mimi siangalii ushindani na wala sishindani na mtu ila kama wapo wanashindana na mimi nitawaacha washindane na mimi lakini mimi sishindani ila naangalia malengo yangu na mipango yangu katika muziki" aliongeza Alikiba. . . TOA MAONI YAKO HAPA
Usijilzimishe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu Mtu najaribu kujilazimisha kumpenda na kumkubali lakini roho yangu inakataa katakata sijui ni kwanini Wajameni.
Ahahaaaaa anatafuta kiki. Maana alovyojidai kufuta vumbi kiti chake hakua anashindana na watu kweli. Leo anageuza kibaokwani nani aliwahi sema ana shindana na AK ?
halaf ni mwaka sasa hajatoa wimbo, huwez shindana na msanii aso toa nyimbo kabsa.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Labda ana chanzo kingine cha mapato
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Ahahaaaaa anatafuta kiki. Maana alovyojidai kufuta vumbi kiti chake hakua anashindana na watu kweli. Leo anageuza kibao
Kwani si kajibu alichoulizwa!! Au unasoma ukiwa ushabiki umekujaa kichwani!!!Huyo afanye muziki mashindano nani kamuuliza...hiyo tuzo ya huyo dogo imemfanya avimbiwe mpka akili
Haujaachaga majungu tu!![emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
mi huwa ana niacha hoi hapo tu, akijitahid huwa mwaka mzima anatoa wimbo mmoja. ila mashabiki wake huwa wana mbeba sanaa asipotee.
ni msanii mzur kiaina though
Wacha we!!![emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
atakuwa kaacha kushindana mwaka huu labda.
ila katka vijana wanao penda mashindano ni yeye mmoja wapo
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
mi huwa ana niacha hoi hapo tu, akijitahid huwa mwaka mzima anatoa wimbo mmoja. ila mashabiki wake huwa wana mbeba sanaa asipotee.
ni msanii mzur kiaina though
Kweli njia ya muongo ni fupi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
atakuwa kaacha kushindana mwaka huu labda.
ila katka vijana wanao penda mashindano ni yeye mmoja wapo
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Kweli njia ya muongo ni fupi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ushabiki upi nasema nachokionaKwani si kajibu alichoulizwa!! Au unasoma ukiwa ushabiki umekujaa kichwani!!!
Haujaachaga majungu tu!!
hahahaWacha we!!!