Ali Kiba hujawatendea Haki wasanii wenzako wa Bongo Fleva kwenye album yako

Mpanda nyangobe

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
710
1,559
Hii binafsi nimeitafsiri kama dharau.

Haiwezekani album yenye nyimbo 16. Usishirikishe hata msanii mmoja wa kibongo kwenye album. Album imejaa wa Nigeria, Wakenya, wa Ghana na wa South. Ndio kusema Wabongo fleva hukuona hata mmoja wa kufanya naye collaboration.

All in all albamu imenikamata.
 
Hii binafsi nimeitafsiri kama dharau... haiwezekani album yenye nyimbo 16.. Usishirikishe hata msanii mmoja wa kibongo kwenye album.... Album imejaa wa Nigeria, wakenya na wathauzi.... Ndio kusema wabongo fleva hukuona hata mmoja wa kufanya nae collaboration..!!!
All in all albamu imenikamata.
Ni watu gani hao...
2950709_IMG_20210917_183745.jpg
 
Hii binafsi nimeitafsiri kama dharau...

Haiwezekani album yenye nyimbo 16.. Usishirikishe hata msanii mmoja wa kibongo kwenye album.... Album imejaa wa Nigeria, wakenya, wa Ghana na wa South ... Ndio kusema wabongo fleva hukuona hata mmoja wa kufanya nae collaboration..!!!

All in all albamu imenikamata.
Nchi kama Tanzania inabidi kujivunia sana kuwa na mwanamuziki kama ALIKIBA.
 
Hii binafsi nimeitafsiri kama dharau...

Haiwezekani album yenye nyimbo 16.. Usishirikishe hata msanii mmoja wa kibongo kwenye album.... Album imejaa wa Nigeria, wakenya, wa Ghana na wa South ... Ndio kusema wabongo fleva hukuona hata mmoja wa kufanya nae collaboration..!!!

All in all albamu imenikamata.
Album ya kimataifa ndo mana hakuna wa tanzania
 
Back
Top Bottom