Ali Kiba hujawatendea Haki wasanii wenzako wa Bongo Fleva kwenye album yako

Hii binafsi nimeitafsiri kama dharau...

Haiwezekani album yenye nyimbo 16.. Usishirikishe hata msanii mmoja wa kibongo kwenye album.... Album imejaa wa Nigeria, wakenya, wa Ghana na wa South ... Ndio kusema wabongo fleva hukuona hata mmoja wa kufanya nae collaboration..!!!

All in all albamu imenikamata.

hivi ni nani aliesema biashara ya mziki bongo ni kama chama cha ujamaa.. hv unajua kuwa hao wanamuziki unaowasema hajawashirikisha ni wapinzani wake kibiashara..

Iwe Ali Kiba au Mwanamziki yeyote kutoka TZ hata aje kuwa maarufu Kama Michael Jackson bado umaarufu wake hautaikuza Tanzania tena na miziki yenyewe hii yenye vinasaba vya huko nje ..

kuna vitu vya kulikuza Taifa na kuna vitu Binafsi.. mziki ni kazi au biashara Binafsi yenye maslah binafsi sasa unamlaumu vipi mtu hajashirikisha wazawa wenzie

jua tu ukiona mtu kashirikishwa kwenye nyimbo ya mwenzie ile ni biashara pale sio kupeana kiki.. au kusaidia

tufike wakat tujue kutofautisha vitu vyenye mslah kwa taifa na vitu vyenye maslah kwenye maisha binafsi ya watu

Kila siku mnaimba Diamond tajiri na sijui ni mmoja ya top mucisian Afrika.. haya niambie Kama Taifa limefanikiwa vipi kwenye umaarufu au biashara ya mziki ya Diamond.. tena kukuonyesha kuwa mziki ni biashara binafsi.. nimesikia kanunua gari sijui ya 2b au 1b..

ingekuwa mziki ni swala la kitaifa basi hizo B zingeweza kujenga hata hospt ya wilaya ndogo.. ila ni pesa yake na ana haki ya kuitumia anavyotaka.. hakuna mwanamzik anaepata ruzuku kutoka serikalin ili mseme kwa nn hujashirikisha wenzako au kwa nn unanunua magari ya kifahari wakati tuna shida za hosptal wakat gharama za mziki wano zimesimamiwa na serikali

ndo yale yake ya Bongo movie kusema huyu hajachanga msiba wa huyu mara sijui huyu alikuwa hashirikian na wenzie sijui kwenye nn.. sanaa its a business oriented activities kila mtu anapata jinsi anavyoweza kujichanganya na kaz ya sanaa na kupata ma deal.. na pia mmejuana kwenye kazi za sanaa so akiamua kujiunga na vikundi vya kufa na kuzikana haya asipoamua bado sio dhambi sababu watu hamjui maisha yake ya ndani

Wabongo dah mawazo ya namna hii yanaturudishaga nyuma hatujui kupiga mstari kutofautisha maslah/ maisha binafsi au mambo ya jamii na mambo ya kikazi .. tuna akili za kijamaa sana za kugawana kila kitu

msanii anaonekana mitandaoni anakula
bata na raha kwa matunda ya kazi yake.. akija kuumwa unasikia mchangien flan anahitaj milion anaumwa.. unajiuliza kuna wangap wamelala hosptal ambao hawana wa kuwasemea..

hatukatai ugonjwa hauna hodi.. ila ile kuwafanya hawa watu kuwa special wakat ile ni kazi yao inayowaingizia kipato kama kazi ingine ila wakipata shida inakuwa kama vile watoto wa taifa ni lazima wahudumiwe na serikali au wasanii wenzie inakuwa sio sawa..

kutoa ni moyo... and charity begins at home.. unamlaumu mtu hachangii wasanii wenzie hujui yeye na familia yake wana masaibu gani
 
Sio kweli.

Katika ile album kuna nyimbo mbili kawashirikisha wasanii kwenye kundi lake, wakina k2ga, tommy flavor na abdu kiba.
 
Ila Kiba kanikera sehemu moja..

Haiwezekani nyimbo zote za kwenye album yake akaanza kuimba yeye, kwanini nyimbo zengine asikae mwisho ili amtangulize alimshirikisha/washarikisha?

Ni kukosa ubunifu kwa kweli.

Na naona watu wanaisifia sana huko mitaani, kiukweli sipo upande wowote lakini kwa hii albamu sijaona maajabu yeyote.
 
Punguza hizi Mambo mkuu mtu akifanya Jambo zuri mpongeze tu sio dhambi

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Punguza hizi Mambo mkuu mtu akifanya Jambo zuri mpongeze tu sio dhambi

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app

Nampongeza mtu akipatia. Kwa upande wangu naona hajapatia kama nilivyotarajia.

Ni sawa kuona kwa namna yako kama amepatia, we only differs in perception and that makes the two of us.

Bado unashaka na maamuzi yangu!?
 
Hii binafsi nimeitafsiri kama dharau...

Haiwezekani album yenye nyimbo 16.. Usishirikishe hata msanii mmoja wa kibongo kwenye album.... Album imejaa wa Nigeria, wakenya, wa Ghana na wa South ... Ndio kusema wabongo fleva hukuona hata mmoja wa kufanya nae collaboration..!!!

All in all albamu imenikamata.
MKUU HAKUNA MWIMBAJI BONGO AMBAYE ANAFANYA SANA COLLABO NA WABONGO WA AINA ZOTE WAKUBWA KWA WADOGO KAMA ALI KIBA!!!

Nyie na uchawi wenu na roho za kuhukumu bila kuangalia upande wa pili mlitakiwa kupitia kwenye mikono na mkachanganyika na sabuni
 
Ila jamaa dah hata kumfollow mkewe haja.mfollow.
Screenshot_20211008-093939.jpg
 
Hii binafsi nimeitafsiri kama dharau...

Haiwezekani album yenye nyimbo 16.. Usishirikishe hata msanii mmoja wa kibongo kwenye album.... Album imejaa wa Nigeria, wakenya, wa Ghana na wa South ... Ndio kusema wabongo fleva hukuona hata mmoja wa kufanya nae collaboration..!!!

All in all albamu imenikamata.
Lengo ni kuteka soko duniani
 
K2ga ,Tommy na Abdukiba wamalawi sio

Back
Top Bottom