ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,864
humu ndani wame jaa first year kibao eti leo wana jiita watoto wa mjini......nakumbuka hata wewe kwenye uzi fulani mlikua mna kumbushana mlivyo kua watoto enzi zenu kule mtwara ha ha ha leo wajiita don town ha ha ha duuh.
Kuwa na adabu na wakubwa wako,utakuta mtu kama wewe umekuja mjini tume ya jiji imeshavunjwa ila ndio hivyo lakini bado ni ndugu yetu wewe hata Mwalimu Nyerere alopokelewa mjini na waakina Ally Sykes,Rupia.
Infact mimi sitoi pesa labda umedandia treni kwa mbele wadau wanafahamu Complimentary itakayotoka ni ipi na be ready for phase 2 promo tutamchaguwa moderator wetu wa uzi huu huu kuendesha promosheni za chemsha bongo kila weekend na mafans watakuwa wanajishindia zawadi mbalimbali, na wewe unakaribishwa
Huu ni ujio wa umri Matola in new emage.
humu ndani wame jaa first year kibao eti leo wana jiita watoto wa mjini......nakumbuka hata wewe kwenye uzi fulani mlikua mna kumbushana mlivyo kua watoto enzi zenu kule mtwara ha ha ha leo wajiita don town ha ha ha duuh.
ka.t.i.w.e mbele sinaga mazoea na kna kaka poa
Yaani sielewi,mmeamua mlale humu nyie mashabiki wa Dai?what a shame!Kiba 4 real! Lazima muje u knw!I like it!
anayejisikia kuntukana na kunambia maneno ya shombo aseme tu yaan nmefuzu.hakuna mstaarabu km mimi but ukijifanya unajua shombo mimi nina maneno machafu kama choo cha stendi.nilikuonya asubuh muuza sura lakini naona unataka action.cjakuquote but umejifanya mjuaji so muvi iendelee
Wenyeji wa huu uzi changamkeni, zile page zinakaribia kutimia kwa hesabu zangu.
Ova
Worry not masharti na vigezo kuzingatiwa, hii siyo kamati ya Lundenga hata kidogo.
Mimi siyo class yako. .shukuru JF imekufanya upate kuchangia maongezi na mimi. ..mishale hii jiulize nipo wapi!ndo ujue hatufanani mimi na wewe kijuso
Najua mkuu. Nitafurahi akishinda wa nyumbani kuliko hawa wa mtaa pili ambao naona wanakuja kwa kasi sana kuvizia tuzo ya bundle.
Ova
We mwana weee....sebene unaliweza lakini au ni kiburi cha balehe tu?
OPERA MINI comments zangu kuna ambayo nimeonesha nimekulia mtwara?