Naona watu mko bize na KIBAKULI wenu ambaye nae Yuko bize pia kupost picha alizopiga Nairobi wakati brother MONDI kanyakua Tatu ?frima na Nasema Nawe nyimbo bora Africa #vp kuhusu Mwana

Hebu ingia YouTube hlf uniambie ni nyimbo ipi ya kibakuli iliyopata watazamaji wengi kuliko au zaidi ya nasema nawe.li mtu lenu lina nyimbo mbayaaaaaa,mi video mibovuuuuu hlf mnategemea ashinde tuzo,atashinda za mlimani city tuu za udongo.ila tuzo za kupanda ndege ni za diamond platnumz

Tangia lini ulishawahi kumuona shabiki wa platnumz apanick,nyie ndio mnapaniki kuanzia mwanamxiki wenu uchwala mpaka nyie mashabiki,cku hz mwanamziki wenu analopokalopoka tu vitu visivyoeleweke,poleni sana ila tatizo lingne ni nyota pia inachangia.

Mwanamziki gani yule hata Burundi tu hatambuliki.Diamond huwezi kumfananisha na kiba na ndio maana hata bei zao kibiashara ziko tofauti,kiba is cheap wakati mwenzake ni wa gharama kubwa.wakati wake ulishapita sasa hv akashindane na wakina Mr Nice
Hebu niacheni mie niko busy kusaka salary.
Sina muda wa fu.c.k.i. n.g arguments kama zamani.
Wimbo ni mzuri kama kawaida ya Kiba,anajulikana hanaga single mbovu.

😂😂😂😂 Pale unapokuta hata wimbo wa watoto " maua mazuri yapendaza" n mzuri kuliko huu, mashabk wake hutoa majibu ya namna hii, hahaha