Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ndo hvo maneno hayaishi kamwe hasa mihemko na emotional ikitawala badala ya reasoning.

+haya mkuu sijabisha, umevote lakini? Kama bado haya tuvote, huku tunasubiria nominesheni za channel o, maana habari za uhakika kutoka kwa mwenzenu mmoja ni kwamba mwaka huu king Kiba atakua nominated teh! teh!
 
Okay mi hata si vote popote pale. Mpaka ni vote hyo siku sijui huyo msanii kanigusa mno bila hvo I can't waste my time,honestly.
Hiyo ya kuwa nominated si ingetangazwa mana siku nyingi sijawahi Iona Chanel.Am not sure aisee.
 
+Sawa mkuu usiku mwema amani kwako!
 
Mburula ndorooobooo wewe usiyejiamini mpaka unakuja kupost huku kwa kiba, ndio maana uzi wenu mtaa wa pili haunogi maana wote mmehamia huku si mna special thread ninyi?? Anyway karibuni maana inaonyesha ni jinsi gani jina la king kiba linawapa kick
 
Kichupa..... upande wa jirani waandae limao za kutosha.

Hahaahaaa!..mkuu hapo kweli LIMAO zitawahusu kule sio siri na kwa hakika hiki kichupa lazima kitamchora KINGKIBA kwenye ramani za MTV & AFRIMAMA huko.
 
Mkuu vipi kuhusu Kiba kuwa nominated chanel O 2015 uliongea jana baada ya kukuchana ukatoka nduki" em tudokeze uliota au¿

Ili nalo kubwa jinga A.K.A bogaz. Ni lini utajiona wewe ni mwanaume uachane na umbea wa kike? Ata demu wako ana hasara mwanaume huna tofauti na mwanamke? Ni ushushushu tuu umekujaa? Nina wasiwasi lazima watakuwa wanakugeuza wew si bure.... sijui una wadudu gani wanaokutekenya tekenya kwenye 0713 maana hutulii yaani. Hunaga kazi nyingine za kufanya mbali na umbea? Wew ni mzigo adi kwenye familia yenu.
 
Hahaha acha povu mkuu cjakuuliza ww en I knw myself en am better thn u ×100 am just hea jf 4 fun never tak anyting seriously lady xo toa upuuuz wako huko"
B!tch dnt kll ma vbe 😀😀😀😀 en Gudmornin
 
za asubuhi... duuuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…