hawa watoto wapuuz sana yaan kumuita ali kiba king wa muziki huu ni kashfa kubwa na kuwakosea heshima watu.hawa dully sykes,q chief na banana zoro kaeni mfikir huyo ali kiba kalingana na nani hapa mbn hamjawaita king acheni unafki na ushabiki wa kishamba mburula nyieeeee