View attachment 215017
Watamuelewa tu, nyie subirini. Ukiwa unajua utabaki unajua tu, hata kama kuna mazuzu watabisha.
Ova
Na nilitaka kukuuliza uko bukoba nini?
Aisee hiyo picha ya pili hapo mate yamenitoka...penda sana ndizi nyama mimi!
Uknw kama vipi ningejua ninge kutumia kwa simu
Teh...naona yeye Kiba siku hizi ana muiga Dimond....kuweka captions....ila nahisi kachemka pia
Hahahahahaaaaa! Sijui ndio kiumbe gani kilichotajwa hapo kwenye red? Siku zote ukiwa unaandika kitu kisichotoka moyoni ni lazima utakosea tu sehemu muhimu katika kile unachokiandika. Ajabu kwenye jina la Kiba anayejitia kumponda amepatia, lakini huko kwingine ndio majanga.
Ova
Narudia tena Kumfananisha DIMOND...DOMO ita upendavyo wewe na Alikiba ni sawa na kufananisha TYSON na MATUMULA.....Alikiba ni sawa na.mwanaume anayejivunia sura nzuri wakati pesa hata....tetete...only wise will dance the melody of life....Alikiba ashafeli na hawezi kumpata DOMO milele....
Hahahahaaaaa,ujue nimecheka sana?aisee......
Hahahahahaaaaa! Sijui ndio kiumbe gani kilichotajwa hapo kwenye red? Siku zote ukiwa unaandika kitu kisichotoka moyoni ni lazima utakosea tu sehemu muhimu katika kile unachokiandika. Ajabu kwenye jina la Kiba anayejitia kumponda amepatia, lakini huko kwingine ndio majanga.
Ova
Nani kakuambia hapa tunatafuta Mshindi?Kazi kweli kweli huu mchuano
Platnamuz alisindikizwa hadi na msafara wa gari la polisi na show ilijaa vibaya
Hebu tupeni na picha za show ya kiba tuone nani anakubalika zaidi huko
duu nimemiss mengi sana fu.ck majukumu
Nyieeee!!!! Huyu Alikiba wenu kakosea sana video ya mwana dar es salaam. Kafeli kabisaaaaaaa
"Ur downfall is coming u bastard ungrateful broke fool!!" hyo ni moja ya pili
" niggas forget who helped them......... so quick......God don bless me i do my thing dey go keep my name out ur mounth !! WHO U DON HELP IDIOT!". Tweet ya Davido kwa Dai,Morning people!!