Ali Kiba Fans' Special Thread...

Nadhani alifanya utani mkuu. Kweli, siamini kama alimaanisha, mmekuwa marafiki wazuri mkitaniana na kufurahi. Tuyaache haya yapite.
Ova

Labda kama na yeye alikuwa anafanyaga utani kwenye tongozo.
Kwani jina la babu chinga lilianzaje hapa threadini?
 
Uchambuzi gani huo.....yaani mtu anakuwa kabisa bias! Mweeeh halafu mwenzie anampa big up kheee kweli waarabu wa pemba.....


mie wananiachaga hoi jamani, wanalazimishaaaa!!! hebu wamtue mtoto wa watu!
 
Ingekuwa kinyume chake sasa weeee tungeshuhudia breaking news zinavyofuatana....kwa ninavyowajua mtaa wa pili kwa promo hawajambo!

yaani tusingepumua, zingefunguliwa thread kumi na wangejazana hapa na tambo zao za sokoni!
 

uchambuzi murua
 

Watamuelewa tu, nyie subirini. Ukiwa unajua utabaki unajua tu, hata kama kuna mazuzu watabisha.
Ova
 
Heri ya mwaka Mpya King Kiba's fans. Mwaka 2014 ulimalizika vizuri na 2015 umeanza vizuri kiburudani hasa kwa mtu mzima Kiba.
Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…