Yeah! Kwa sababu alizungumza ukweli juu ya asiye na shukrani. Alitolewa kwa ufadhili wa Papaa Misifa, akagombana naye, alirekodi kwa ruhusa ya Ali Kiba, akagombana naye, alirekodi kwa beat ya Bob Junior, akagombana naye, alitoka kwa video ya Adam Juma, akagombana naye, alitengenezewa hit ya Mawazo iliyompa show ya BBA kwa mara ya kwanza, Maneke, naye kagombana naye. List ni ndefu acha niishie hapo.
Ova
Ujue hua nashangaa watu wanavyosema Kiba mbaya,ana roho mbaya.
Sijawahi kusikia kagombana na mtu yeyote yule katika industry ya muziki.
Kawasaidia underground wengi sana,ndomo sijui kawahi kumsaidia nani....labda shetah...lol
Hadi leo nikikumbuka ulivyosema "kumbe ndio maana le Tamkooz lilikua linachelewa kutoka"
Nacheka sana.
Shetta alitoka tangu alipoimba na Belle 9 na Dully Sykes, huyo ndomo sijui alimkuta Shetta tayari akiwa barabarani. Kiba kawatoa wengi sana hadi Dimpoz, na bado akaachia chance kwa kupumzika miaka mitatu ili wengine wachomoze. Roho mbaya iko wapi hapo?
Ova
Yeah! Kwa sababu alizungumza ukweli juu ya asiye na shukrani. Alitolewa kwa ufadhili wa Papaa Misifa, akagombana naye, alirekodi kwa ruhusa ya Ali Kiba, akagombana naye, alirekodi kwa beat ya Bob Junior, akagombana naye, alitoka kwa video ya Adam Juma, akagombana naye, alitengenezewa hit ya Mawazo iliyompa show ya BBA kwa mara ya kwanza, Maneke, naye kagombana naye. List ni ndefu acha niishie hapo.
Ova
Shetta alitoka tangu alipoimba na Belle 9 na Dully Sykes, huyo ndomo sijui alimkuta Shetta tayari akiwa barabarani. Kiba kawatoa wengi sana hadi Dimpoz, na bado akaachia chance kwa kupumzika miaka mitatu ili wengine wachomoze. Roho mbaya iko wapi hapo?
Ova
Kiroho safi niliamuwa nirudi jamvini kesho maana simu imeisha chaji, ila kwa hizi fact unazozimwaga hapa jamvini imebidi ninunuwe power bank ya Pukudu hapa Sinza usiku huu ili niendelee kuwa online, maana nilishaamuwa kudisconnect internet ili chaji iliyobaki nitumie kwa phone call tu.
Tupo pamoja na nipo sana hapa leo mpaka usiku mnene.

Hapo ndipo ninaposhindwa kuelewa,unamkumbuka toxic star alivyomtoa?
Huyo dimpoz ndio hata sitaki kumsikia kabisa.
Na mimi nini tena? Shauri yako wewe upake rangi upepo tu, is up to you baby.
And what about you? U still kissing the wind?
Wengi kawatoa tena kiroho safi kabisa, kama kwenye Notainai kaweka mpaka zile silaha zake. Sauti za juu, bado useme anabana? Wamesahau kama yeye kauiba wimbo aliopewa demo ili aingize sauti kwa kushirikishwa? Sisi tunakumbuka Number ilikotoka, verse yake ikageuka wimbo, tena bila aibu Ukawa wimbo wa dakika mbili tu.
Ova
Kuna siku yule dada alilia masikini, sijui walimlipa shilingi ngapi!
Kizuri kula na nduguzo kibaya msukumie jirani.
Wamlipe nini? Wamempotezea tu. Tena kwenye ule wimbo aliimba vizuri sana, nilisikia demo yake. Halafu waliwahi kusota wote na Nassib wakati wakihangaika kutoka.
Ova