Ni mtu tulikuwa naye hapa akitumia ID nyingine, akiwa kama mwenzetu. Sasa ameamua kutumia ID nyingine ili kutuvuruga akili zetu. Alishawahi kuja na jina jingine hapa akatukanana sana na
Matola. Shangaa amezuka ghafla na kutuchokoza, ila nadhani dawa yake ni kumpuuza tu ili maisha mengine yaendelee.
Ova