Ali Kiba bana unachosha mashabiki wako, kwanini hujui kucheza na muda?
Unapokuwa hot make sure u remain hot as long as possible, toka umetoa Mwana ika hit umefanya nini kingine? Dunia ya leo unatoa wimbo bila video?
Unamengi yakujifunza toka kwa akina Ommy dimpoz, Mavoko na Platnumz
Unatufanya wepenzi wako tunatumia msuli sana kukubakiza juu wakati wewe mwenyewe unachelewesha mambo
Kumbuka watu watafikia mahali watakuchoka bana