Mhhhh haya
Matola itabidi amtafute Somji Juma sasa au wengine wajitokeze maana nilikua nakutegemea sana sasa sijui itakuaje!
Mimi nataka niicheki usiku kucha ikae kichwani scene zote bila kupoteza hata moja ili kesho yake nipambane vizuri na haters!!