hakika tunaisubiria tena sana, na kama kweli kiba alishafanyia video S/ A target yake ilikuwa ni nini?? coz haikuhit, hivi kweli ukafanyie video kusini alafu sokoni iwe kawaida plans na goals zilikuwa nini??
na ndo maana alipata project ya one8
kwani kipindi kile si kulikua na wasanii wengi tu
enzi zake mbona ilitamba sana mack muga au hukuepo kipindi hichooo...?!!!
hata kama hamumpendi aly k isifike kila kitu mnakashifu tuuu jamaniiii
mnaonekana dhahiri kwamba utoto na roho mbaya zinawasumbua bora bas usikomment maana wengine tunatumia fake ids ila usemacho ndivyo ulivyoo