hahaaaaa!! yaani nimecheka kwa nguvuuu!!! mweee sasa hiyo couple ya Mdakuzi na Diva c itakuwa vichekesho!!! hata Mungu alijua ndio maana wewe akakupa mdakuzi diva akapewa matola ili mblend jamani
Utoijua nimeangaika kuerejesha but tulikua wote tangu mwanzo thread Id was 👉Ambition Boy 🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶
Yaani ukiacha habari za Kiba hapa hakuna ninachokisubiria kama Le Tamkooooz la Diva u know....
Hahahaaa ila Matola itabidi umfuate mbebez Miami u know...so jipangez u know...
Naona,naonaaaa uwiiiii hiyo siku nitaangalia hiyo video yake huko YouTube mara 100 shiiida gani?
Bundle linanisumbua halina kazi GB's zipo za kumwaga.....